Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na ukweli kwamba Jamii ya kimataifa imejiridhisha kuwa Raisi kagame anahusika moja kwa moja kwa kuwasaidia March 23(M23) kijeshi na misaada mingineyo ya ki-inteligensia na kusababisha...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Katibu muenezi wa CCM (T) Nape Nnauye yupo mkoani Kigoma. Lengo la ziara yake mkoani Kigoma ni kuweka mambo sawa katika maeneo yafuatayo: (i) Kuwashawishi madiwani wa Kibondo wamchague mwenyekiti...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Ndugu wana jf muda huu kuna kipindi live radio wapo 98.1fm kuhusiana na maoni ya wananchi kuhusiana na rasimu ya katiba mpya kwa upande wa serikali tatu. Mwendesha kipindi kaanza kwa kuuliza ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuanzia kuwepo kwa vituo vya luninga vinavyorusha midahalo kutoka mahali hapa,sikuwahi kuona CCM na Serikali yake ikishinda kwa hoja. Nimekuwa nje ya Chuo Kikuu hiki kabla,baadaye nikawa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Mateo Qaresi ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Serikali ya Awamu ya Pili na Tatu, ikiwamo uwaziri na ukuu wa mkoa, amesema Tanzania kama taifa halina...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
MAHAKAMA ya Rufaa Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Nsanzugwako, aliyekuwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Basic Information Full Name of organization: Newala Development Foundation Abbreviation: N.D.F Physical Address: Address / P.O. Box: 191, Newala Telephone: 784795192...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Salamu wanajamvi, Katika jambo ambalo linasikitisha ni kuwepo na kila lugha za kukemea,kuonya na kulaani biashara ya madawa ya kulevya.Cha kushangaza ni serkali hiyo hiyo ya ccm na viongozi...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaendelea kutoka sehemu ya 2 Hii ni sehemu ya 3 na ya mwisho ya makala haya. Msomaji anakaribishwa kutoa maoni yake baada ya kusoma makala haya. ---------------------------- Serikali na vyombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWENDESHA Mashitaka Mkuu wa Serikali (DPP), Eliezer Feleshi, alibadilisha mashitaka pamoja na washitakiwa katika kesi dhidi ya Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Idd Simba, hatua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba amesema anao maadui wawili wakuu hapa nchini. Akizungumza na gazeti la MAWIO Mwigulu amewataja maadui hao wawili kwamba adui wa kwanza ni Katibu mkuu wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia matukio mfululizo ya kukamatwa kwa watuhumiwa wa dawa za kulevya wanaodaiwa kuwa ni Watanzania kwenye viwanja vya ndege nje ya nchi wakipitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(kulia) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand, Mhe. Sura Pong Tovichakehaikul(kushoto)wakisaini Mkataba wa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu JF, Amani iwe Nanyi Kuna watu wameshaanza tayari ,nina uhakika watu hawa wanatumiwa. Wanapinga Rasimu ya Serikali tatu kwa kigezo cha Gharama. Eti Nchi itakuwa na Gharama Kubwa ku Run na...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Nikiwa kama Mtanzania ninayekerwa na matumizi yasiyo na tija katika taasisi zote za hapa nch,leo nami nimeamua niwashirikisha ufujaji unaofanywa na Mwenyekiti wa sasa CCM-mkoa wa Tabora,Mzee...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF, kwa waliokuwepo ukumbi wa Nkrumah na kwa waliofuatilia mjadala wa jana kupitia ITV, watakubaliana nami kuwa kama kuna siku Nchimbi alionesha ukomavu wa kisiasa basi ni jana. Kwanza...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Chama chetu cha Mapinduzi sasa hakipendwi kama mwanzo wake. Hakiaminiwi kirahisi hata pale kulikokuwa na ngome za chama chetu kama Lindi na Mtwara.Kinalalamikiwa;kinazidi kuchukiwa. Yawezekana...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Serikali sasa imekubali kuwa kodi mpya ya laini ya simu ni mgogoro na inakusudia kurejesha muswada wa sheria ulioazisha kodi hiyo bungeni kwa mjadala zaidi. Waziri wa Fedha, , Dk. William Mgimwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza na Baraza la Katiba la Wakulima wadogo kupitia Muungano wa Vikundi Vya Wakulima (Mviwata) hivi karibuni. Kwa ufupi *.Pamoja na kwamba...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Back
Top Bottom