PICHA: Henry Kilewo na wenzake mahakamani Tabora

PICHA: Henry Kilewo na wenzake mahakamani Tabora

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
2,650
Reaction score
6,088
So strong, determined to soldier on kupambana na hila...

Wakielekea na kutoka chumba cha mahakama, pia wakili akizungumza na waandishi wa habari, baada ya shauri kortini.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1373308217.558107.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308217.558107.jpg
    103.6 KB · Views: 1,203
  • ImageUploadedByJamiiForums1373308239.773902.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308239.773902.jpg
    104.9 KB · Views: 1,032
  • ImageUploadedByJamiiForums1373308378.496634.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308378.496634.jpg
    15.2 KB · Views: 877
  • ImageUploadedByJamiiForums1373308428.508829.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308428.508829.jpg
    99 KB · Views: 805
  • ImageUploadedByJamiiForums1373308458.605854.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308458.605854.jpg
    105.7 KB · Views: 869
  • ImageUploadedByJamiiForums1373308478.875677.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373308478.875677.jpg
    107.6 KB · Views: 872
Akina Kileo wanapigania vitu viwili: utu wao na chama chao.Kama makamanda,wanaona fahari kuwa wao na si yeyote mwingine.Mungu awalinde na awapiganie hadi mwisho. Kama batili ni batili tu. Poleni sana CHADEMA na wanafamilia wa washtakiwa hawa. Mtani wangu Tumaini Makene, utaniliza bure wewe kijana!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana
 
Last edited by a moderator:
So strong, determined to soldier on kupambana na hila...

Wakielekea na kutoka chumba cha mahakama, pia wakili akizungumza na waandishi wa habari, baada ya shauri kortini.
Hili kundi la magaidi kumbe ni kubwa hivi nchi iko hatarini sasa itabidi jeshi liingilie kati kuwadhibiti make watauwa sana.
 
Akina Kileo wanapigania vitu viwili: utu wao na chama chao.Kama makamanda,wanaona fahari kuwa wao na si yeyote mwingine.Mungu awalinde na awapiganie hadi mwisho. Kama batili ni batili tu. Poleni sana CHADEMA na wanafamilia wa washtakiwa hawa. Mtani wangu Tumaini Makene, utaniliza bure wewe kijana!

VUTA-NKUVUTE

Habari za hapo 'kwenu' Lumumba street.

Usilie. Ukilia unampatia nguvu oppressor. Hila zinakabiliwa kwa ujasiri. Moyo kabla ya silaha. Mwalimu Nyerere alisema.
 
Last edited by a moderator:
Akina Kileo wanapigania vitu viwili: utu wao na chama chao.Kama makamanda,wanaona fahari kuwa wao na si yeyote mwingine.Mungu awalinde na awapiganie hadi mwisho. Kama batili ni batili tu. Poleni sana CHADEMA na wanafamilia wa washtakiwa hawa. Mtani wangu Tumaini Makene, utaniliza bure wewe kijana!

wale hawana lolote ni vibaka tu
 
Last edited by a moderator:
Poleni makamanda!wapitishe mchango tuwachangie wote wenye kesi ajili ya wakili na gharama zingine!makamanda tusiwaache wenyewe maana ukombozi una safari ndefu sana ambayo si nyoofu!
 
Hili kundi la magaidi kumbe ni kubwa hivi nchi iko hatarini sasa itabidi jeshi liingilie kati kuwadhibiti make watauwa sana.
ni kweli mkuu lakini mjue mmewafumba wanadamu coz wanatumia macho ya kawaida lakini sio mungu coz yeye hujua kabla hata hujafikiri.
 
Mungu ataamua kwa haki juu ya Jambo hili.

Kilio cha familia za hawa wanaoteseka hakitapita bure.

Binadamu ni mavumbi tu.Watu wa Mungu wako kwenye maombi mazito na tazama ushindi uu karibu sana.
 
Ugaidi ni hatari sana,pale kakosekana lwakatare tu.

Ni rahisi kuusema sema hivi, kama mnavyousema na kuanza kuwazoesha Watanzania. Mnausema lakini mnashindwa hata kuuonesha kwenye charge sheet!

Hivi mnaweza kuwaambia wapenda haki, msingi imara wa amani, wauaji (note 'wa') wa Daudi Mwangosi wako wapi? Wauaji wa Msafiri Mbwambo (waliomchinja kinyama) wako wapi? Si walikimbia wakiwa na pingu mkononi mbele ya polisi wenye silaha, wakamnyang'anya bunduki askari mkoja, wengine wakiangalia 'mchezo mzima'. Baadae bunduki eti ikaokotwa ikiwa imetupwa nje ya geti. Wako wapi waliomuua kijana Ally Singano Zona pale Morogoro? Mnaogopa nini kufanya uchunguzi huru?

Waliomteka na kumuua kwa kumtesa vibaya Mbwana Masoud kule Igunga wako wapi? Matukio ni mengi. Mnaogopa hata kufanya uchunguzi huru kwenye tukio la kifo cha kada wenu Yohana Mpinga kule Ndago, Iramba, Singida, badala yake CHADEMA ndiyo wanapigania haki za marehemu yule kwa kudai serikali iwajibike kufanya uchunguzi ili ukweli wa tukio zima la Ndago ujulikane?

Ugaidi, ugaidi! Wanaopaswa kuwa behind bars kwa kesi kama hizi, wanaongoza chama chenu...alisema Shafi Adam Shafi, "Yana mwisho haya..."
 
Akina Kileo wanapigania vitu viwili: utu wao na chama chao.Kama makamanda,wanaona fahari kuwa wao na si yeyote mwingine.Mungu awalinde na awapiganie hadi mwisho. Kama batili ni batili tu. Poleni sana CHADEMA na wanafamilia wa washtakiwa hawa. Mtani wangu Tumaini Makene, utaniliza bure wewe kijana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba usilie jipe moyo tuipiganie demokrasia ambayo imebakwa na ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mwema wakina Henry wataachiwa huru na maccm ndo wanazidi kujichimbia kaburi. Chama cha majambazi kinaogopa kutoka madarakani
 
Back
Top Bottom