The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Hivi kuleta gesi kutoka Mtwara hadi dar
halafu hiyo gesi itengeneze umeme na
huo umeme urudishwe Mtwara halafu
na kutengeneza umeme wa gesi huko huko Mtwara na kuutumia huo
umeme na unaozidi ndo uletwe Dar na kwingineko kwa matumizi
kipi ingekuwa bora?
ni lazima umeme utengenezwe Dar?