KESI dhidi ya MBUNGE wa MTWARA MJINI Hasnein MURJI YAFUTWA

KESI dhidi ya MBUNGE wa MTWARA MJINI Hasnein MURJI YAFUTWA

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
3,094
Reaction score
457
KESI YA MURJI YAFUTWA: Mahakama mjini Mtwara imemfutia kesi ya uchochezi mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji. Kesi dhidi ya makada wa CUF yaahirishwa hadi Septemba 2.
source Vodacom/mwananchi news alert
 
Cuf rudisheni ngangari2 mtukomboe ni nyie tu wanainchi tunaowategemea
 
Mambo haya yalishajulikana. Hata yule wa rushwa naye ataachiwa tu.Unategemea tunaweza kuwafunga makada wa chama chetu cha Mapinduzi
 
gesi hiyoooo inaenda bagamoyo,ukifika mitaa ya baobab kwa mbele kuna mibomba mikubwamikubwa inajengwa kuelekea bagamoyo mjini...
 
Mambo haya yalishajulikana. Hata yule wa rushwa naye ataachiwa tu.Unategemea tunaweza kuwafunga makada wa chama chetu cha Mapinduzi
naona umezidiwa na swaumu, bado kdg ufturu, kwa muda huu soma qur'an
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Magamba bhana ! Naapa kwa jina la shetani , hata wauza unga hakuna atakayefungwa .
 
Mahakama imefanya maamuzi ya kipuuzi sana. Hivi mbona kila kesi hapa nchini inayohusu wanasiasa huwa inaishia kufutwa tu.
 
Sababu za kufutwa kesi ni zipi mkuu, ama ni makosa ya kiufundi tu?
NYOKA HAGONGI MKIA WAKE
 
Mahakama imefanya maamuzi ya kipuuzi sana. Hivi mbona kila kesi hapa nchini inayohusu wanasiasa huwa inaishia kufutwa tu.
Siyo kila kesi inafutwa na mahakama, nyingine zinafutwa na DPP kwa kutumia mamlaka yake yanayoitwa Nolle, anaweza kuingilia kesi yoyote ya jinai ikiwa stage yoyote kabla ya hukumu, na kuamua kuifuta!. Hauliziwi na yeyote na hawajibiki kutoa sababu yoyote kwa yeyote!.
Pasco
 
Cuf rudisheni ngangari2 mtukomboe ni nyie tu wanainchi tunaowategemea

...wananchi...??? akikusikia lipumba utaona chamoto, alishatangaza anatetea watu gani so you better be specific wanachi unamaanisha nini maana katika wale aliowataja mi siko so sitegemei kama atawahi kuja kuwa mtetezi wangu kwa lolote...
 
Mahakama imefanya maamuzi ya kipuuzi sana. Hivi mbona kila kesi hapa nchini inayohusu wanasiasa huwa inaishia kufutwa tu.
...chezeya unga wewe,nenda kashangae china sheria inasema wanaokamatwa na madawa ya kulevya wanyongwe lkn wabongo hawajanyongwa mpaka leo...
 
Back
Top Bottom