RAIS TUNAYEMTAKA 2015
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UTAMBULISHO
Sisi ni viongozi na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Vijana Wapenda Amani Tanzania, ambayo ni taasisi ya vijana wazalendo kutoka...
Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold...
Special report Oil and natural gas exploration in East Africa
Thembi Mutch
20th May , 2013
The disconnect between what oil and petrol companies say is happening in East Africa and what global...
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha NIPASHE (RADIO ONE) leo asubuhi (03.08.2013) ambapo walikuwa wana wahoji madiwani wa CDM waliochaguliwa hivi karibuni na kuapishwa jana jijini Arusha. Katika...
Mwkt wa taifa F. Mbowe kuwahutubia ktk mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa Arusha kwa ushindi wa kata nne, ktk viwanja vya shule ya msingi ngarenaro kuanzia sa 9:00 alasiri upatapo...
Athari hasi za utandawazi, muktadha wake ni
pamoja na kugombea maisha(struggle for
existance); ni harakati zinazowafanya viumbe
dhaifu kushindwa mapambano; na hivyo
kuishia kuliwa mithili ya...
Diwani wa kata ya Turwa ktk halmashauri ya mji wa Tarime wa cdm, Charles Ndesi Mbusiro,amesema kuwa CCM wilaya ya Tarime,kimepora uwanja wa michezo bila rdhaa ya wananchi.
Diwani huyo alitoa...
CHADEMA kimefikwa na masahibu katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya uongozi wa muda wa chama hicho latika mikoa husika kutojua msimamo wa makao makuu. Katika kipindi cha miezi sita, Januari -...
Ngugu zangu na Makamanda wenzangu, Mkutaba wa uchimbaji wa chuma kule Liganga, unakwenda kisiasa sana. Sijasikia lolote kuhusu mpango mkakati wa serikali wa kuishughulikia hiyo chuma, ili tuuze...
WAZEE WAKERWA NA KAULI YA NAPE KWAMBA WANASUBIRI KUFA
Wanamtuhumu Nchemba kwa kushusha heshima ya CCM mbele ya umma, na kuchangia matokeo mabaya katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika Arusha...
Kwa muda mrefu sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikitoa madai mazito dhidi ya CCM kutumia kikundi cha ulinzi na usalama kiitwacho Green Guard, kufanya vitendo vya siasa...
Wataalam husema "No Research, No Right to Speak". Sasa ni nimeona nilete tena ka Research kengine kadogo hapa.
Nimetumia vyanzo tofauti tofauti vinavyo leta majibu yale yale, ila hapa nime amua...
Cdm kimeanza kuweweseka baada ya chama kilichokua kina sera kama zake kupigwa mweleka na chama tawala . Chadema kimezoea kukimbilia kwa wakolonI kulalamika kama kinaonewa kama ilivyokua mdc hadi...
TBA ISSUED PRESS RELEASE DATED: 2nd August 2013
SOURCE: Mwanachi news paper dated 2nd Aug 2013 page 9, The Citizen page 7 and daily news page 21 on the same dates.
PUBLIC NOTICE ON EXCISE DUTY...
Waislaam wa Tanzania bara na Zanziber wamejiandaa kuikataa katiba ya jamhuri ya muungano endapo maoni yao yatapuuzwa katika katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania.
Tume ya warioba na...
Habari zenu wadau wenzangu wa JF?.Naam bila shaka nyote wazima.Ndugu zangu mimi ni mwalimu wa sekondari nimeajiriwa mwaka huu,ila ndoto zangu kubwa ni kuwatumikia Watanzania wenzangu katika...
Kama unatatizwa na huduma utendajii au maisha yako hayajatafutiwa ufumbuzi wa kiutendaji kisiasa jibu ni hili wajibika haswa mahali pako, kisha
Anza kuondoa sisiem madarakani kwa kura yako na...
Hii tabia ya wabunge wa CCM kuitikia kila kitu ndiyooo ni kuwakomoa wapigakura wao? hawajui wajibu wao au wanafanya makusudi? mwakajana walisema ndiyoo kodi ya mafuta ya taa, mwaka huu ndiyoo kodi...
Ujumbe kwa watanzania wote, na wageni wote,
walimu, wafanyakazi wengi na watu wote walao kwa jasho lao wameamua kikamilifu kukabidhi hatima yao kwa Chadema na wameapa kuungana nyuma yake kufanya...
FRIDAY, AUGUST 02, 2013 == Nairobi, KENYA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Aisha Omari (kushoto) Mama wa watoto wawili waanga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.