Baada ya kutafakari kwa kina namna ya serikali inavyoendesha siasa zake,imenipasa kurudi nyuma na kujiuliza Rais Kikwete ana background gani.
Utawala wa Kikwete umeegemea kwenye kutegemea...
Wakuu,
Katika pita pita yangu hapa JF leo nimekutana na hii taarifa kuhusu Pinda akiwa anahutubia huko Kagera. Kwa mujibu wa maelezo yake (kulingana na habari) inajidhihirisha wazi kuwa anajaribu...
WanaJF!
Baada ya kimya kirefu cha wazanzibar kuhusu kunyanyaswa, kubaguliwa na kukandamizwa na wapinzani hasa wa CHADEMA, leo wamefunguka na kueleza yaliyo moyoni mwao kutokana na dharau na...
Mfanyabiashara maarufu mkoani Singida juzi aliweza kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kampuni yake ya TURU BUS kumkanyaga makusudi mfanyakazi wake DAUD NKAU wa kijiji cha NKUNGI wilaya ya MKALAMA...
As a country, we don't move anywhere through politics because our politicians do not live any political agenda for the national interest. We have a good number of them whose their political career...
Wana JF, nipo hapa Babati mida hii CCM wameitisha mkutano na boda boda ili kuwambia kwamba wapinge ushuru wa maegesho unaotozwa na halimashauri ya mji wanayoiongoza wao wenyewe!
Lakini aibu...
Wana bodi,
ziko lawama na hata laana zinazoendelea kuelekezwa kwa jeshi la polisi kwa matukio mbalimbali ya uvunjifu wa amani nchini, na ambazo kama zina ukweli, basi zinatokana na polisi hao...
Kura zimeharibika Kagera mikoroshini-kinyang'anyiro cha mwenyekiti serikali za mitaa.CCM wanang'angania kutangaza matokeo.
Defender na mabomu ya machoz yapo standby.....
Afe ng'ombe afe...
JULAI 28, mwaka huu wananchi wa Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara waliadhimisha miaka mitano tangu alipofariki dunia aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Chacha Zakayo Wangwe.
Maadhimisho hayo yalianzia...
Akizungumza katika kongamano la amani liliofanyika mnaz mmoja sheikh mkuu wa Dar es Salam, Amesema haki ndio msing wa amani, bila haki amani haiwezi kuwepo, akitolea mfano wa yaliyotokea Misri...
Kijana Mohamed Waziri akina do wagombea wa Chadema leo , Bi.Habiba Juma anayegombea nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa na ndugu Adrai Myinga anayegombea nafasi ya ujumbe wa Mtaa wa Kagera Mikoroshini leo.
Nimesikia kuwa LHRC na baadhi ya wanasheria wamefungua kesi dhidi ya Mh Waziri mkuu kwa kauli aliyoitoa bungeni ya kuruhusu polisi kupiga wakaidi wa sheria za nchi.
Kiukweli LHRC nilikuwa na...
Bila shaka tumejione na kusikia jinsi ya Viongozi wa Zanzibar walivyokuwa wakitowa kauli zao kwa ujio wa shekh ponda
baadhi yetu tukajiuliza nini kinapikwa huko ?kwani mara zote kama utafatilia...
BAADA ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu kwa kutumia tindikali, Serikali imeamua kudhibiti uingizaji, usambazaji na uuzaji wa rejareja wa tindikali zinazotumika viwandani, katika maabara na...
SIKUchache baada ya Mahakama ya Kisutu kumwachia mtu aliyedaiwa kumteka na kumtesakiongozi wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, serikaliimemshukia daktari huyo na kudai ndiye...
This week's horrific acid attack on two British teenagers is not surprising given the history of unrest in Islamic Zanzibar
Kirstie Trup, left, and Katie Gee: the attack on them isn't the first...
kujielimisha ni jambo jema sana....
leo nimekuwa nikisoma soma mambo ya international relation na nikaona pepa ilioandikwa na msomi wa rwanda kuhusu mvutano wa tanzania na rwanda kuhusu...
Hi makamanda wote wa jiji la dsm! Leo tupo tbt kimanga tukikamua mwanzo mwisho, plz njooni kwa wingi sana tuwaamshe waliolala hapa dsm angalau wafikie level za arusha,mbeya,mwanza,musoma,moro na...
Katika kile kinachoonekana upinzani mkali wa kati ya CCM na CHADEMA ktk kinyang'anyio cha nafasi ya Ujumbe wa serikali ya mtaa wa Sinza C, leo CHADEMA wakiwa na pikipiki zaidi ya kumi, magari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.