Uchaguzi Kagera Mikoroshini

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Kura zimeharibika Kagera mikoroshini-kinyang'anyiro cha mwenyekiti serikali za mitaa.CCM wanang'angania kutangaza matokeo.

Defender na mabomu ya machoz yapo standby.....
Afe ng'ombe afe mmasai hapa.
Wanataka kutangaza matokeo kiubabe
 
Back
Top Bottom