Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau Eid Mubaraka, Pamoja na kuwa similiki I pad nitawajuza yote yatakayojiri leo Ndani ya Uwanja wa CD Msuya Mwanga Kilimanjaro! Kupitia Mao tse Tung yangu (simu ya Kichina) Mliopo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu katika nci yetu tumeshuhudia maeneo mapya ya kiutawala yakiundwa ikiwemo uundaji wa mikoa mipya, Wilaya mpya n.k. kwa lengo la kurahisisha uduma za kijamii (huduma kuwa karibu na...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
CHAMA cha Kijamii (CCK) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete na washauri wake kutafuta njia za kidiplomasia za kuzungumza na Rais wa Rwanda, Paul Kagame ili kutafuta suluhisho la mivutano inayoendelea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bukoba. Ngara. Zikiwa zimesalia saa 48 kabla ya kumalizika kwa muda uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wahamiaji haramu kuondoka nchini au kuhalalisha ukaazi wao na wenye silaha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF! Awali ya yote nianze kwa kumlaani vikali mtu aliyempiga shekhe Ponda risasi na pia nimuombe mwenyezi Mungu ampatie nafuu shekhe Ponda inshallah. Nirudi kwenye mada, Kuna watu...
3 Reactions
267 Replies
20K Views
Moderators, naleta mashtaka yangu Kwenu juu ya Vigogo wa Fikra, GT Yote humu Jamvini Kwa kushindwa kutuelewesha sisi wenye ubongo mzito, tunafikiria Leo Na kutoa maamuzi kesho, juu ya Kauli ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana JF hoja yangu ni kuwa Tanzania haina wakimbizi wengine zaidi ya wanyarwanda , mbona tunajenga hoja nyingi juu ya hawa jirani zetu? Angalia kwenye sekta mbalimbali serikalini utakuta watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
BY GUARDIAN ON SUNDAY TEAM 11th August 2013 Relations between Tanzania and Rwanda are still at the crossroads, despite the soft diplomatic tones taken by both countries in the past few days...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrodi Mkono Mjadala unaoendelea kuhusu rasimuya Katiba Mpya, unayagusa makundi mengi ya kijamii na watu binafsi, kila upande kwa namna yake. Lakini sehemu kubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Halimashauri ya Wilaya Korogwe inawataka watumishi wote wa wilaya hiyo kuchangia bati(Geji 28)au Fedha Tsh 35000 Halimashauri imetoa barua kwa wakuu wote wa shule kwamba hili ni Agizo la Rais...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Updates: 11/08/2013 ================ maandalizi yanapamba moto. Kimanga nzima inameremeta kwa bendera za chama makini, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. jina la chama chetu tu ndiyo...
8 Reactions
186 Replies
15K Views
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa...
0 Reactions
114 Replies
16K Views
Baada ya kesi za ughaidi dhidi ya viongozi wa Chadema ya Gaidi Mwigulu na Fisadi Eliezer Feleshi kugongwa mwamba,ni muda Bwana Feleshi akaachia madaraka kuwapisha watu wenye ujuzi zaidi kufanya...
5 Reactions
110 Replies
12K Views
Ndugu wana JF, Katika kupitia makala ,nilikutana na mada hii ambayo nimeona inabeba ukweli usiotakiwa kupuuzwa...... KATIKA mfumo wa demokrasia ya vyama vingi, kazi ya chama tawala na vyama vya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Said Mwema: Tunashindwa kuwakamata watuhumiwa waliotaka kumuua Dr Ulimboka kwa kuwa Ulimboka hajafika polisi kutoa maelezo. What a nasty statement! Mbona Mbowe alipodai kuwa na ushahidi wa bomu...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilitarajia kusikia sauti ya Bisimba na LHRC wakisema kitu baada ya tukio la kupigwa risasi ya moto shekhe Ponda. Kimya chao kinanipa tafsiri tofauti na malengo yao wanayodai kuyasimamia...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
IGP Mwema inaelekea siyo mwema sana. Hii mihadhara ya kidini ni mahala ambapo watu wanakusanyika kumtukuza Mwenyezi Mungu. Sasa Polisi wanaposema wanataka wananchi wasaidie Sheikh Ponda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wanaJF, Kwa sasa nipo mtaa wa uchaguzi Mabibo ambapo kuna vuta n'kuvute kati ya CHADEMA na CCM kutokana na ushindani mkali uliopo. CCM walikuwa wanasomba watu,CHADEMA wakashtukia....Stay tuned!
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Residents reject 30,000 plots survey plan 10th August 2013 Sumaye says existing occupants of land were not involved...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rwanda:Govt reassures Tanzanians living in Rwanda Amid massive expulsions of Rwandans from Tanzania on the orders of President Jakaya Kikwete, Kigali has moved to reassure Tanzanians that they...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom