LorenzoA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,889
- 17,753
Akizungumza katika kongamano la amani liliofanyika mnaz mmoja sheikh mkuu wa Dar es Salam, Amesema haki ndio msing wa amani, bila haki amani haiwezi kuwepo, akitolea mfano wa yaliyotokea Misri kwamba mnaweza kuwa taifa la waislam tupu, au wakristo tupu, lakini bila haki amani haiwezi kuwepo.
My take, anaungana na kaul ya Dr SLAA kwamba amani haiubiriwi kwani amani ni tunda la haki.
Vile vile anaungana na sheria ya asili kwamba kwenye haki amani hutawala.
Ahsante sana Sheikh mkuu!!
My take, anaungana na kaul ya Dr SLAA kwamba amani haiubiriwi kwani amani ni tunda la haki.
Vile vile anaungana na sheria ya asili kwamba kwenye haki amani hutawala.
Ahsante sana Sheikh mkuu!!