david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Mbona wanahutubia mchanga, wamefikia hatua ya kufulia kiasi hiki? chezeya daslamu weye!!!!
Ha ha ha ha.... tulisema humu CHADEMA hawana lao Dar!
Ni jambo la kufedhehesha kushuhudia CHADEMA ina hutubia miti.
Ubungo na Kawe ziko Dodoma?SIFA YA KUWA MWANA CCM NI KUJITOA UFAHAMU.Ha ha ha ha.... tulisema humu CHADEMA hawana lao Dar! Ni jambo la kufedhehesha kushuhudia CHADEMA ina hutubia miti.
dar ipi? Make ni hapa dar Chadema ina wabunge na madiwani..ungesema dodoma ningeelewa. Mie muda huu niko kazini sipo mkutanoni lakini ni uhai tu ndo unaweza kuzuia kura yangu kwa ChademaHa ha ha ha.... tulisema humu CHADEMA hawana lao Dar!
Ni jambo la kufedhehesha kushuhudia CCHADEMA ina hutubia miti.
Mtakimbia hapa nyie magamba,mna bahati natumia mchina ila picha zitafuata soon ndio kelele yote itaisha!kweli mfamaji hakosi kutapatapa, namuona KISHELI kashika tama sijui anamaanisha nini? kwa mwendo huo utamtoa Makongoro Mahanga?
MMEFULIAAAAAA
Nimeona kaka watu ni wakuhesabu, hata 60 hawafiki, weka picha nyingine.Kanunue miwani ya 20.5, utaona vizuri