Napenda kutumia nafasi hii kuomba M4C ipelekwe Jimbo la Mbinga Mashariki,
pia nina shauri M4C ipitie maeneo ya fuatayo;KIGONSERA,UTIRI,KITANDA,LUWAITA,KINDIMBA,LITEMBO,MAGUU,TINGI,NYONI,LIPARAMBA...
- Kwa siku za karibuni Nape anaonekana kutafuta ushauri kutoka kwa wadau ni namna gari kuongeza ajira kwa vijana, namna ya kuimaliza adui rushwa, na mengineyo kwa sababu kubwa ya kuiinua uchumi wa...
Uamuzi wa kumpiga risasi sheikh Ponda naweza kusema ulikuwa ni uamuzi mbovu na ambao haukuangalia athari zake kwa amani na utulivu wa nchi hii.Uzoefu unaonyesha kuwa kumdhuru kiongozi wa kidini wa...
Habari zilizotufikia asubuhi hii kupitia gari la matangazo la CHADEMA ni kuwa kesho mida ya saa 9 alasri kutafanyika mkutano wa hadhara ukiambatana na maandamano ya kuwapokea makamanda wa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matendo na matukio yanayoendelea hapa nchini tangu muda mrefu kuhusu unyanyaswaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ambapo kwa sasa naona kama hali imezidi kuwa...
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti...
Ama kweli wahenga walisema "mdharau mwiba mguu uota tende", na pia wakasema "Lisemwalo lipo............"
Jamani eee! Ebu tuache mzaa sasa, ebu tuache ushabiki sasa, ebu tuache kuchekea udhalimu...
Habari za kuhamishwa bwana Mulongo RC Arusha zimeendelea na kutapakaa hapa Mkoani ambapo zinaonekana kufurahisha sana wakaazi wa Mkoa huu.
Ila kuna mambo yanashangaza wengi hasa hili la MNEC...
http://youtu.be/OpRewksbtcQ
Meya Jerry Slaa asema SIASA ya UJAMAA na KUJITEGEMEA ilitufanya sisi WaTanzania kuwa Wavivu; Kuwa Wategemezi wa Serikali, kuliko kujitegemea Wenyewe
Ndio Maana...
Siasa za Tanzania huwezi kuzitenga na kila tukio linalojiri maana imezoeleka siasa zetu kutumia kila mwanya ili kujitutumua kisiasa na kujiimarisha habari ni ndefu sana lakini alau kwa leo...
Na Christopher Nyenyembe-
BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwahi kusema wakati wa uhai wake pale alipojaribu kuangalia na kuona utitiri wa vyama vingi vya siasa kuwa ana shaka...
Mwendelezo wa kampeni za kijiji kwa kijiji bado zina zidi kushika kasi ndani ya mbeya vijijini ambapo leo katika kata ya BONDE LA SONGWE kijiji cha IKUMBI wakina mama maalufu na wanachama...
INGEKUWAJE KAMA HUYU MZEE ANGECHAGULIWA KAMA MMOJA WA WAJUMBE AU ANGEKUWA MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA JE? TUNGEPATA KATIBA TUNAYOITAKA KWELI?
NAMHESHIMU SANA LAKINI MAONI YAKE HAYATUFAI...
Ni wakati pekee na mwanya adhibu uliotoka kwa mola,kutufumbua macho WATANGANYIKA kwamba taifa lao lililozikwa mika 50 hivi iliyopita laweza kufufuka kupitia katiba mpya ya Jaji J.S.Warioba...
Hili ni jimbo linaloongozwa na ccm kwa muda mrefu ambalo ni moja ya ngome imara ya ccm kwa mkoa wa singida , kwa sasa linaongozwa na mbunge wa ccm john Lwanji, wananchi wamekua na kiu ya madiliko...
Zanzibar ni bomu linalo subiri kulipuka na ni kazi kwetu kuamua kusubiri lilipuke au kujiandaa na kuzuia lisilipuke. Nasema hivi kwasababu zifuatazo
1. Uongozi duni: Zanzibar pamoja na kuwa na...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa kitapigana hadi tone la mwisho la damu kurejesha mali zote za wananchi zilizouzwa kinyemela.
Mbowe akiwa...
Imenishangaza juzi, baada ya kuona sherehe za kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhan yaani Eid el Fitr zikiadhimishwa kitaifa katika nchi moja sehemu mbili tofauti, bara waliazimisha Tabora wakati...
BENKI ya Dunia imeiteua Tanzania kuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kutekeleza programu ya Kuimarisha Halmashauri (ULGSP) kama mradi wa mfano na majaribio ambapo katika utekelezaji wake mfumo wa...
Mbowe alia na Katiba kutoa fursa kupitia upya mikataba
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema chama chake kitapigana kufa na kupona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.