Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeenda leoofisi moja ya shule ya secondary inayomilikiwa na jumuia ya wazazi Tanzanianiliyoyaona huko sijayapenda, kuanzia mapokezi mpaka ofisi ya mku ni bendera namapambo ya chama cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"HUKU viongozi wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakizunguka mikoani kueleza juu ya gamba lililovuliwa Dodoma na kuwatuliza wana CCM ambao walikuwa wakiendelea kuondoa imani yao CCM kutokana na...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kisiwa cha Zanzibar kimekuwa katka vichwa vya habari vya vyombo vya kimataifa kuhusiana na kumwagiwa Tindikali kwa mabinti wawili wa kiingereza waliokuwa wanafanya kazi ya kujitolea visiwani huko...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2013: "Maoni ni kuhusu sikukuu nyingi zisizo na tija, zipunguzwe na muda wa kazi Uongezwe" Katika Rasimu ya Katiba Mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Salim Ahmed Salim 2.John Malecela That is my opinion.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Dual nationality question stirs up heated debate By Frank Kimboy The Citizen Reporter Posted Monday, July 29 2013 at 10:40 In Summary •Another member, who criticised the draft for failing...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo akiwa anawahutubia wakazi wa mabibo-Sahara kwa mara ya kwanza toka atoke jela huko gereza la uyui- Tabora ktk mkutano ambao mgeni rasmi alikua John Mnyika, aliwaliza baadhi ya wananchi...
10 Reactions
72 Replies
10K Views
Makada 4 wa CHADEMA hatimaye wametoka selo na kuanika mambo hadhari kikubwa ikiwa ni dhuruma na manyanyaso ya polisi kuwatesa na kuwalazimisha waseme na kukiri kuwa Dr. Slaa na Mbowe ndio walio...
7 Reactions
200 Replies
18K Views
Wana JF naandalia hapa news ITV maneno kule Singida wanako pokea Mwenye wa uhuru wote wanao ukimbiza muda wote wavaa nguo za rangi ya bendera ya CCM na huku wanasema Mwenye ni mali ya Nchi kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba angalia then unisaidie kujua nafasi ya huyu maana ndani ya CCM na uongozi .Najiuliza pale anapo cheza kuna watoto wake wa kuzaa wanamuona akikata sasa wanajifunza nini hawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uchaguzi wa marudio wa viti vya udiwani pale Arusha mjini tarehe 14/07/2013 , umeacha swali moja suala la muhimu kabisa ambalo wapenda demokrasia nchini wamekuwa wakilipigia kelele kwa muda mrefu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
1)Kama ningekuwa Jaji Ihema nisingeshiriki katika kamati ya Mh Nchimbi, kwakuwa Wizara ya mambo ya ndani ndio watuhumiwa wakuu. 2) Baada Mh Lissu kutoa tuhuma za utendaji wa Jaji Ihema, busara...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
- Baada ya kelele nyingi za kutishia nyau kutoka Rais wa Rwanda na wapambe wake, hatimaye Tanzania tumeonyesha kwamba kwanza tunajua tunachokifanya na pili Rwanda hawawezi kutishia nyau watuwazima...
12 Reactions
150 Replies
11K Views
Kwa moyo wangu ninapenda nitoe shukrani zangu kwa Mwigulu Nchemba kwa bidii zake nyingi za kukiimarisha chama changu ninachokipenda. Ninampa salaam hizi za shukrani kama mwanamkakati ambaye...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Wakati wa kinyang'anyiro cha urais mwaka 2005 aliyekuwa mgombea urais Frederick Tluway Sumaye aliwahi kusema " mgombea anayewashambulia wagombea wenzake kwa kalamu akipata madaraka anaweza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumatatu tar 12 Dr.Slaa atakuwa Mwanga kuwahutubia wananchi kuhusu katiba mpya ambapo hatazunguka kanda yote ya Kaskazini ambayo ina mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Arusha na Manyara.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Watanzania lazima tujifunze kuappreciate vitu vinavyostahili appreciation. Mtu akifanya jambo zuri, hata kama ni mpinzani wako, kaza roho umpongeze. Chadema ni watani wangu wa jadi. Katika...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
Wana Jf, Wanachokifanya CHADEMA ktk jimbo la Aru Magh sio haki na aliposwi kukubalika, vijana kwa wazee wamekuwa wakiwasubiri kwa muda mrefu kuja kufanya ukombozi lakini mmekuwa mkiwatenga bila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ikiwa leo ni siku ya pili ya mikutano inayofanywa na chama cha Demokrasia na Maendelo kwa nia ya kuimarisha chama wilayani Hai chini ya Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa chadema Mhe. Freeman Mbowe...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kukataa kugawanywa kwa misingi ya udini. Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitr mjini Tabora jana, Dk. Bilal, alisema ni busara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom