Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji wa jeshi la Polisi Advera Senso ametangaza kuundwa kwa Tume kuchunguza ukweli wa sakata la Sheikh Ponda kupigwa risasi Morogoro ikiongozwa na makamanda wenyewe wa polisi. Tume hii...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nini kifanyike nchi inapokosa wa kuisemea?? Tumeambiwa nchi imesimama haiendelei tena hali vijana wake wapo bize na malumbano ya kidini na siasa! Ndg zangu,yapo mambo mengi yanazungumzwa sasa ktk...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
- Katika ziara yangu Mikoa 18 na Wilaya 88 za Jamhuri ya Muungano Tanzania, kuna ishu moja inayowasumbua sana wananchi nayo ni baadhi Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Kata kuwa wafuasi wa Upinzani...
2 Reactions
121 Replies
8K Views
MBUNGE wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ameibua madudu mapya katika sekta ya elimu, ambao umebaini kwamba kwenye mitihani ya majaribio ya darasa la saba, baadhi ya maswali ya kuchagua...
3 Reactions
65 Replies
9K Views
Tz na movie mpya, director wa movie hii kabla ya kuizindua alituma nakala ya muvi uk kuwajulisha muvi limeanza. cha ajabu anamawazo bado ya analojia alifkiri labda Tz hawawezi jua kwa muda huu...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
A TANZANIA-Japan Business Forum scheduled to take place in Dar es Salaam today at Serena Hotel aims at promoting business and exploration possibilities between Japanese companies and Tanzania...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
A radical Muslim preacher wanted for questioning over the acid attack on two British tourists in Zanzibar was shot on Saturday night as he fled police trying to arrest him. Ponda earlier this...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Ndugu zangu, Kwa mwanadamu, mila yake ndio dini yake ya kwanza. Kwa Mwarabu na Mzungu sawia, Uislamu na Ukristo uliingia katika jamii hizo na kuzikuta jamii hizo zikiwa na mila zao. Na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na uzushi wa muda mrefu sasa kama week mbili kwenye mitandao na vijiwen hapa Arusha kuwa mkuu wetu wa mkoa anahanishwa Magesa alipokuja Arusha halmashaur karibia zote zilikuwa zimeoza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usiku wa kuamukia leo, diwani wa kata ya Chonyonyo Bw Rubambula akiwa anatokea eneo linaloitwa Kahanga alikutana na watu wanne wakiwa na siraha za moto akawekwa chini ya ulinzi nakuamrishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kutafakari kwa kina juu ya watu hawa kutoka CCM akiwemo Samweli Sitta,Dr.Harrison Mwakyembe,Edward Lowasa,Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba,Ridhiwan Kikwete,Benard Membe na makundi mengine hasimu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sheikh Kundecha atoa sharti Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, imeitaka Serikali kuunda tume huru ya uchunguzi wa tukio la kujeruhiwa kwa Sheikh Ponda na majibu yake ndiyo yatakayoamua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa ni wazi kuwa Muundo wa serikali tatu hauepukiki kwa nini? Tanzania bara siyo Nchi na wala siyo jina lake, Jina halisi ni Tanganyika, kwa vyovyote vile hatuna katiba yetu sisi kama watu wa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
THE controversial Muslim leader, Ponda Issa Ponda, has been admitted at the Muhimbili National Hospital (MNH) in Dar es Salaam for emergency treatment -- under police custody. Ponda, who was on...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
RAIS wangu, wahenga walisema: "Kinywa kiliponza kichwa!" Hivi ndivyo inavyotokea sasa katika nchi yetu. Waziri Mkuu wetu, Mizengo Pinda, ametoa kauli nyonyegefu inayoififisha serikali na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Passion Fm Muda huu sana sana anaropoka tu nakuifanyia promo Chadema.
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa,Mh.Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa Ubungo Mh.John Mnyika watakuwa wilayani Bunda Leo mapema katika mkutano wa wazi wa kukusanya maoni ya katiba.
6 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
"Nitakapoanguka chini kwa risasi, msinililie mimi. Endelezeni mapambano niliyowaachia". Hayo ni maneno aliyoandika Mh. Freeman mbowe kwenye gari yake. Kwa walioko Arusha asubuhi hii mnaweza...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Mbunge wetu wa Jimbo la Mbinga mashariki wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010,ulituahidi wakazi wa mbinga kuwa utajenga Chuo hapa Mbinga mjini hadi sasa hakuna ulichofanya na hakuna taarifa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MWENYEKITI na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanaanza rasmi ziara nchi nzima kwa kutumia helikopta kwa ajili ya kuzindua mabaraza ya Katiba ya chama. Ziara hizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom