Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
My Take Hii ilisababoshwa na uwekezaji wa kukurupuka wa Serikali na watu. Kiufupi real estate investment ni hasara kubwa. https://www.instagram.com/p/DNYGsfCpWvJ/?igsh=dHZxOXBkYXp2YTdp
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja. Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge. Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana...
3 Reactions
13 Replies
804 Views
Chadema mwaka 2005 ilikuwa inasafirisha wanachama wake kwa Mafuso kwenda kwenye mikutano ya Kampeni lakini Leo wanaumia roho wanaccm kutumia treni na Yutong kwenda mikutanoni Chadema msiwe na...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda...
1 Reactions
3 Replies
284 Views
02 September 2025 CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha...
11 Reactions
102 Replies
4K Views
Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
"KILA KATA NITALETA MASHINE ZA PHOTOCOPY YA MITIHANI" kila kata 20 ambazo zinapatikana katika jimbo la mtumba mhe mtia Nia wa ubunge jimbo la Mtumba amesema kuwa "mwezi wa kumi na moja baada ya...
0 Reactions
4 Replies
359 Views
Huwa nawashangaa sana watu wanaodai eti magufuli anakuja kufanya yale yalimshinda Kikwete. sasa najuliza Kikwete mtoto wa mjini kashindwa atawezaje Magufuli ambaye hata system inavofanya kazi...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Mmekuwa wagumu kusikia mahitaji ya watanzania. Kwamba kila anayeyasema sana yuko mafichoni, gerezani, ana kesi mahakamani, kapotea, au kauwawa?! Kwamba kwenye agenda zenu hakuna mnapoongelea...
3 Reactions
10 Replies
585 Views
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo...
1 Reactions
7 Replies
584 Views
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume...
2 Reactions
8 Replies
778 Views
Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Dodoma, kimesimamisha Wagombea wa Ubunge katika Majimbo tisa katika Mkoa wa Dodoma, likiwamo Jimbo la Mtumba na Madiwani Themanini na nane katika ya Kata za Majimbo...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa. Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Sijajua kwa nini ghafla tu umezuka mjadala kwamba wakosoaji wa serikali hawana kazi na ni watu wavivu, mimi wakosoaji wengi wa serikali ninaowajua au niliokutana nao karibia wote wana kazi zao...
2 Reactions
11 Replies
425 Views
Date: 9/23/2009 *ASEMA ZINAENDESHWA KWA UKATA, ZANA DUNI, ATAKA WANAOLALAMIKA WAFANYE UCHUNGUZI Na Ramadhan Semtawa Mwananchi WAKATI baadhi ya watendaji wa vyombo vingine vya dola...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom