Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani. Awali liliwekwa Tangazo hili hapa Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi? Majibu anayo...
51 Reactions
223 Replies
14K Views
Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya...
0 Reactions
6 Replies
489 Views
Sote ni mashuhuda kwamba, Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja...
2 Reactions
6 Replies
537 Views
Mwenye Kiti mstaafu wa TAMWA Joyce Shebe anasema “Watanzania wamempokea na kumkubali Dokta Samia Suluhu Hassan katika kampeni za Uchaguzi kutokana na hoja nzito anazozitoa kama vile kuboresha...
4 Reactions
17 Replies
697 Views
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni... Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze...
29 Reactions
62 Replies
3K Views
Kagoma kabisa kupiga magoti, kakataa katakata! Nasema kagoma Naona wameamua wamshauri kabisaaaaaaaaaa yule mdashi amuachie bila mashart! Anasita sita kwamba akitoka ataliamsha tena lakin haina...
69 Reactions
134 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John...
16 Reactions
88 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa...
6 Reactions
86 Replies
4K Views
Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan. Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo...
30 Reactions
202 Replies
9K Views
Akihutubia mkutano wa kampeni, Rais Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa kuinua kilimo na ufugaji, akisema kuwa Serikali imepanga kupitia Ilani kuongeza maeneo ya ufugaji hadi hekta...
4 Reactions
11 Replies
522 Views
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega...
19 Reactions
82 Replies
4K Views
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED! Polepole...
26 Reactions
51 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma). Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
Back
Top Bottom