Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya...
Sote ni mashuhuda kwamba,
Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani...
Wakuu,
Uchawa unaendelea
Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia...
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja...
Mwenye Kiti mstaafu wa TAMWA Joyce Shebe anasema “Watanzania wamempokea na kumkubali Dokta Samia Suluhu Hassan katika kampeni za Uchaguzi kutokana na hoja nzito anazozitoa kama vile kuboresha...
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi...
Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...
Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze...
Kagoma kabisa kupiga magoti, kakataa katakata! Nasema kagoma Naona wameamua wamshauri kabisaaaaaaaaaa yule mdashi amuachie bila mashart!
Anasita sita kwamba akitoka ataliamsha tena lakin haina...
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa...
Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo...
Akihutubia mkutano wa kampeni, Rais Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa kuinua kilimo na ufugaji, akisema kuwa Serikali imepanga kupitia Ilani kuongeza maeneo ya ufugaji hadi hekta...
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega...
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!
Polepole...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana...
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).
Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na...
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.