GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
 
View attachment 3462077

Huyu na huyu ...lao moja. Huyu... na huyu... lao moja!
 
Nchimbi naye amekuwa upande wa wahuni ingawa hatujui kama yupo pamoja nao kimwili (anasukuma kete tu) ama kiroho (amedhamiria).
 
Mimi naona yupo upande wa wahuni kwani amewekwa na Kikwete kuwa makamu wa raisi ili aendeleze agenda zao
 
Kumbe hamtaki Katiba Mpya? Maana Mhe. Balozi Nchimbi kaeleza mwelekeo wa CCM bado kuna watu wanapinga.
 
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

View attachment 3462077

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Ni vigumu kuamini ahadi hii kwa sababu matakwa ya katiba mpya hajaanza sasa; yamaanza enzi za mkapa keleke zikazidi wakati was kikwete.Lakini hata minimal reform kuelekea uchaguzi mmekataa.Tuombe Mungu tu mwenye haki
 
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

View attachment 3462077

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.

Kwani nani hakujua madai yote ya CHADEMA mama anayakubali ila tu yeye ajisimike mitano mingine kwanza bila kujali ni halali au haramu?

GolYJ8-WMAAfLvb.jpeg
 
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

View attachment 3462077

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Nani alikwamisha? Mtakuwa mnafanya maamuzi mnavyotaka na kupanga wenyewe mnavyotaka? Nyie ndio wenye Mamlaka au wananchi?

Kama wananchi ndio wenye Mamlaka, kwa nini tangu wameamua kuwepo Katiba mpya tangu mwaka 2014 mmekuwa mkipiga dana dana?

Kwa Mantiki hiyo, sisi wenye Mamlaka ya kuwapa Mamlaka muongoze, tunapataje nguvu ya kuwapa Mamlaka hayo?
 
Mimi naona yupo upande wa wahuni kwani amewekwa na Kikwete kuwa makamu wa raisi ili aendeleze agenda zao
NCHIMBI ni mwana mtandao damu damu!! Ameanza kumbebea mikoba Kikwete toka akiwa mdogo miaka mingi!! Ni chawa wa Kikwete proper ; chawa wenzie wakina Masaburi na Makongoro Mahanga wametamgulia mbele ya haki!
 
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

View attachment 3462077

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Katiba mpya ni hitaji la wananchi... ccm ijiweke mbali na mchakato huo!
Walijaribu mwaka 2014 wakavuruga kila kitu!
 
Hahaha waliwahi kusema wauaji wa Ali Kibao wangewekwa wazi baada ya siku 30.

Hao hao walusema inabidi tujifunze katiba iliyopo kwa miaka mitatu tuielewe.
 
Back
Top Bottom