DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
"KILA KATA NITALETA MASHINE ZA PHOTOCOPY YA MITIHANI" kila kata 20 ambazo zinapatikana katika jimbo la mtumba mhe mtia Nia wa ubunge jimbo la Mtumba amesema kuwa "mwezi wa kumi na moja baada ya uchaguzi wa mwaka huu 2025 kama akipita kila kata 20 zitapata mashine za photocopy kwa ajili ya mitihani ya jumamosi ya wanafunzi" ahadi za mhe mbunge Anthony Mavunde .