Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Askofu Gwajima amerudi tena kwenye midomo ya wanaharakati baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya “makombora mazito”. Aliahidi wazi kuwa kama makanisa yake yangesalia kufungwa ndani ya siku 10...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia. Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa (CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia kati...
7 Reactions
90 Replies
7K Views
Ndugu zangu mi nitembeaji na utembezi wangu uko Kwa Wana ccm ambao walikuwa wanec mwaka 2015 swali kwao kweli Membe aliwai kuwa mtu mwema aliye staili uraisi?
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza...
2 Reactions
6 Replies
942 Views
1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Akram Aziz, mdogo wake Rostam Aziz, amekamatwa na nyara mbalimbali za serikali zikiwemo Pembe za ndovu. Amekamatwa jana, Oktoba 30, 2018 mida ya saa 7 mchana maeneo ya Msasani Jijini Dar na Task...
20 Reactions
250 Replies
48K Views
Hii makala nimeandika kama sehemu ya mchango wangu kumshauri Mkulu baada ya kusoma makala nyingine mbayo imeandikwa na mwana JF. Naomba kuwashirikisha makala hiyo hapo chini; pia ntakupeni nini...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Maneno aliyoyatoa leo mtu aliyekuwa na nafasi kubwa ndani ya chama cha CCM sio ya kupuuzia. Alikuwa mjumbe wa kamati kuu, halmashauri kuu na mjumbe wa mkutano mkuu Sio mtu asiejitambua kiakili...
2 Reactions
9 Replies
759 Views
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakati ule tulisema Christopher Mtikila sio yeye yule kabla hajaenda kusoma Ulaya,labda wazungu wametuletea Christopher Mtikila mwingine,sasa na huyu ndugu yetu Mwabukusi labda si yeye kuna...
5 Reactions
9 Replies
868 Views
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan. 1. Anajitambua 2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake 3. Anaielewa vizuri kazi yake na...
1 Reactions
11 Replies
614 Views
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio...
12 Reactions
127 Replies
5K Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza? Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za...
2 Reactions
1 Replies
661 Views
Back
Top Bottom