Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya.
Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi...
Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla ameomba ushirikiano kutoka kwa viongozi na wananchi ili kuendeleza shughuli za kiuchumi zikiwemo sekta ya utalii na kilimo cha maua na mbogamboga...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa...
Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu?
Akauliza maswali magumu kidogo
1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je...
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao...
Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM?
Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria...
Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa...
Akihutubia kampeni katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Dodoma, chenye uwezo wa kuzalisha tani 1,000,000 za mbolea kila...
Wakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam...
Habari Tanzania !
Eti mpenzi unaonaje, Wagombea waliothibitishwa na Vyama vyao na Tume ya Uchaguzi wapewe vyombo vya usafiri hoja kubwa ni; Wanatumikia umma.
Hii itachochea wagombea kujitokeza...
Wakuu!
CNBC Africa wameandika kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewazuia wagombea wa Vyama vikubwa vya upinzani kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, hatua inayomwacha Rais Samia...
Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye...
==Ndugu Wananchi, akizungumza na wananchi mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe Mrindoka amesema sekta ya kilimo katika Mkoa wa Katavi inachangia asilimia 90 ya pato la Mkoa na kuajiri asilimia 85 ya...
Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za...
Wakuu,
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu...
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii?
======================================
Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa...
Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%...
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.