Steve Nyerere: Uchaguzi wa 2020 niliwekewa Sumu kwenye Chakula (Kitimoto) lakini namshukuru Hayati Membe aliingilia Kati

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,986
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa (CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia kati.

Hajaweka wazi kama sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa CHADEMA au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM, ila amesema aliyeweka hiyo sumu anamjua na amemsamehe.

Source: Clouds media
 
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa ( CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili Afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia Kati

Hajaweka wazi kama Sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa Chadema au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM,ila amesema aliyeweka hiyo Sumu anamjua na amemsamehe

Source: Clouds media
Vituko hivi …😂😂😂😂 na yeye aliwekewa na Makonda baada ya kutumwa na Magufuli hahaha
 
Ila Bunge letu linadharaurika sana, tumefikia hadi kuwa na idea vichwani Steve Nyerere anaweza kuwa mbunge, ila sikupingi mkuu Bongo lolote linawezekana leo Whozu anaamka na Wema asubuhi anamuandalia na chai.
Mkuu hivi unaona ajabu.... Hawa ni machawa wa ccm na itawareward....
Kuna watu wanakuwa viongozi kama asante. Hii nchi chochote kinaweza kutokea.
Hebu niambie babu tale alishawahi toa hoja gani ya maana? Ila atarudi tu maana wananchi jimboni kwake wanampenda kisa tu ni babu tale.
Tanzania watu wanakuchagua kuwa mbunge kwa mahaba tu na wala sio hoja
 
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa ( CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili Afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia Kati

Hajaweka wazi kama Sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa Chadema au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM,ila amesema aliyeweka hiyo Sumu anamjua na amemsamehe

Source: Clouds media
Mtu muongo yeyote kumjua husingizia marehemu wakati hakuna ushahidi wa walio hai kuthibitisha asemalo

Huyo Steve alete ushahidi wa walio hai waliothibitisha hilo

Uongo hata mimi naweza ongea kuwa Marehemu Mwinyi alitaka mimi niwe Raisi wa Tanzania lakini Marehemu Lowassa akaniwekea kauzibe nisiwe Raisi wakati Marehemu Mwinyi alitaka
 
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa ( CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili Afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia Kati

Hajaweka wazi kama Sumu hiyo aliwekewa na mahasimu wake wa Chadema au Washindani wake kwenye kura za maoni ndani ya CCM,ila amesema aliyeweka hiyo Sumu anamjua na amemsamehe

Source: Clouds media
MUONGO MKUBWA HUYO BI KIZEE
 
Haka kajamaa aisee 😂😂😂😂😂

Vimbwenelehi tuna shida sana
 
Back
Top Bottom