Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia...
Mwandishi wa habari kutoka Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa urasimu katika upatikanaji wa kibali na ukomo wa uhuru wa kihariri ndivyo vitu vinavyovizuia vyombo vya habari vya serikali...
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina.
Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa...
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.
Hivyo basi, Mwigulu si waziri...
Makomredi tayari dalili zimeonekana kuwa mwenyekiti wa chama rafiki CHADEMA anaweza kukutana na hukumu kali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili. Hukumu ya hili kosa ni kunyongwa mpaka kufa ila mara...
Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Yaani ni kwamba hapo alipo ni mguu mmoja nje mguu mmoja ndani.. Yaani mguu mbele mguu nyuma.
Sijajua ni nini kimetokea kati yake na...
Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania kwa mwaka 2020,huenda ukawa uchaguzi bora kuliko yote au uchafuzi kuliko yote toka tuingie chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi 1995...
Hapa kijijini kwetu kuna muungano wa familia mbili unashangaza sana, huu muungano ulianzishwa Mara tu baada ya simba alokuwa akila watu kufukuzwa, familia zikabaki na hofu kubwa sana,
Sasa...
==
David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional...
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili...
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na...
Wakuu JF amani iwe nanyi,
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya...
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa...
Mara ya kwanza we ndo ilikuwa uwe makamu na ukaambiwa uje Tanzania mwezi march 2021 Lakin kuna kundi likamwambia Mama kwamba we una misimamo kama Bashiru na Polepole hivo hutafaa sasa kuwa makamu...
A kingdom toppled by its enemies can rise again but that which crumbles from within shall never stand... meza yao isikauke vinywaji.
Tanzura was tense. President Amina, the first woman to lead...
Kila mara Rais anapotoka Zanzibar, sauti za kuhoji Muungano huongezeka. Ghafla tunasikia madai ya Tanganyika, malalamiko ya mgawanyo wa madaraka, na mijadala mikali kuhusu muundo wa dola.
Lakini...
Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,
Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe...
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.