Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Majaji wawili kutoka Uganda na Namibia ni miongoni mwa makamishna sita watakaochunguza waliohusika na makosa ya jinai na ukiukwaji wa sheria uliotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
3 Reactions
8 Replies
154 Views
Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg...
4 Reactions
38 Replies
218 Views
Vyombo vya habari Namibia ikiwepo Shirika la Utangazaji Namibia (NBC) vimeripoti taarifa ya Naibu Jaji Mkuu wa Namibia kuombwa na Tanzania kujiunga katika Tume ya Uchunguzi Tanzania Naibu Jaji...
6 Reactions
23 Replies
604 Views
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na...
59 Reactions
86 Replies
3K Views
Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili...
6 Reactions
46 Replies
527 Views
Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha...
7 Reactions
33 Replies
378 Views
Inaonekana tunasahau ukweli kwamba Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa kimsingi Wazalendo wa Zanzibar kuchukua hatua dhidi ya serikali ya Kiarabu iliyokuwa na uhusiano wa karibu na hawa walikuwa na...
3 Reactions
19 Replies
582 Views
Amani kwa wote. Naomba kujenga hoja yangu katika msingi wa mustakabali wa taifa kwa vizazi vinavyo tuandama. Mimi kama baba ambaye nina watoto , moja kati kitu kinacho nipa mawazo makubwa...
11 Reactions
19 Replies
256 Views
Hili ni tatizo kubwa sana na kikwazo kwa nchi Kuna badhi ya wapinzani wamekasirika baada ya kama nchi kuamua kujenga refinery Tanga Dangote kwenda kujenga mombasa crude oil watu wameponda...
8 Reactions
124 Replies
1K Views
Silence means what? Consent? Tuanzie hapo
2 Reactions
9 Replies
99 Views
Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari...
1 Reactions
6 Replies
79 Views
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe. Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa. Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za...
15 Reactions
14 Replies
344 Views
Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa; 1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu. 2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
ACT Wazalendo imepokea taarifa ya Serikali kuhusu kuundwa kwa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Pamoja na kutambua umuhimu wa kuwapo...
6 Reactions
9 Replies
131 Views
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto...
12 Reactions
22 Replies
401 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata...
5 Reactions
8 Replies
161 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto ameonya dhidi ya kile alichokiita kuwa ni mipango ya kumfuatilia na kumtishia usalama wake Makamu...
3 Reactions
5 Replies
137 Views
Katika hatua ya kuimarisha ukomavu na maridhiano ya kisiasa na ushirikishaji nchini, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la viongozi wa vyama vya...
3 Reactions
39 Replies
658 Views
Ameandika Dr. Godbless Charles Uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa Namibia, Jaji Petrus Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais wa Tanzania ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyotokea kabla na baada ya...
9 Reactions
13 Replies
364 Views
Back
Top Bottom