Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie
Mimi ni CCM mfu niwe wazi...
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani...
Wanabodi,
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!.
Je unakijua kirusi...
Habari Wakuu
Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam...
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya...
Lissu alisema Majaji sio ma CCM kwa kutenda haki kwenye hii kesi ya Lissu na kuleta kueheshimisha mahakama tofauti na hapo kauli za Lissu zinaweza kua za kweli maana wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.
Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na...
Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi...
Awali ya yote niseme katika nchi inayojinasibu kwa amani, utulivu, ustaarabu na kuheshimu utawala wa sheria matukio ya kikatili kama haya ya kupigana risasi, kushambuliana kwa silaha za moto au...
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo...
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia.
Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai...
Jumatano tarehe 06:
Kamati inasoma ripoti za Almasi na Tanzanite katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Anakabidhiwa Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu anasema, " kesho SAA NNE asubuhi nitaikabidhi hii ripoti...
Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
Nimeingia mitandao mbalimbali na kukutana na taarifa kuwa IGP, CDF na DCI wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa...
Baada ya jana Septemba 9, 2026 Makamu Mwenyeekiti wa CHADEMA Bara, Joun Heche kupanda Kizimbani na kuanza kutoa ushahidi wake katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyeekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu...
Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi...
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua,
je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa...
Mtambuka tarehe 21 Agosti 2026 Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dastani Ndunguru ilimkuta mhe Lissu na kesi ya kujibu kwenye kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.