Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
View: https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny

Kwanza usimuite Rais wetu Rais fake!. GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
View: https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
Vipi faza, umerudi enzi za kusifu na kuabudu kusaka TEUZI?Kwanza usimuite Rais wetu Rais fake!. GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!
Pili hata kama porofesa kamzidi kwa akili na kila kitu, yeye ndiye Rais, Rais wa TZ ndiye kila kitu!. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?
Mwisho, mtu akiishakuwa rais, usimfananishe na mburumatata yeyote who is nobody!.
Hakuna Ubishi kuhusu IQ ya hao wawili, sio busara kulinganisha mbingu na nchi!.
Acha hizo!. Niliwahi kuzungumzia IQ za Zanzibarhttps://www.jamiiforums.com/threads/inawezekana-vipi-zanzibar-kuna-div-i-div-ii-na-div-iii-chache-ila-div-iv-na-div-zero-nyingi.409812/
Pia nilizungumzia IQ
P
Duh...! Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!Vipi faza, umerudi enzi za kusifu na kuabudu kusaka TEUZI?
Faza hapo ushanichanganyq, ni mwendo wa kung'ata na kupuliza
Wahaya kuwa na IQ kubwa umeitoa wapi?..hao wahadzabe na wenzao kuwa na IQ ndogo umepata vipi,umetumia shule, wahadzabe na wenzao mliwapeleka shule kama wahaya?Kwanza usimuite Rais wetu Rais fake!. GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!
Pili hata kama porofesa kamzidi kwa akili na kila kitu, yeye ndiye Rais, Rais wa TZ ndiye kila kitu!. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?
Mwisho, mtu akiishakuwa rais, usimfananishe na mtu yoyote!.
Niliwahi kuandika kitu humu kuhusu IQ za makabila Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? Kabila la Wahaya ndio the top IQ in Tanzania, ukanda wa Pwani including Zanzibar, Pemba na Mafia ni average IQ, na primitive tribes kama Hadza, Wataturu, Barbaig, Watindiga ndio the lowest!
Hakuna Ubishi kuhusu IQ ya hao wawili, sio busara kulinganisha mbingu na nchi!.
Acha hizo!. Niliwahi kuzungumzia IQ za Zanzibar Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nilizungumzia IQ Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?
P
Enzi za mkoloni, nchi zote 5 za East Africa zilizokuwa chini ya Uingereza zilifanya mitihani mmoja wa Cambridge ulitungwa Uingereza, Wamalawi ndio waliongoza, wakifuatiwa na Waganda, Wakenya, Tanzania, Zambia, Zanzibar walishika mkia.Wahaya kuwa na IQ kubwa umeitoa wapi?..
Makabila primitive 00, serikali ikawamata kwa nguvu Hadza na kuwasomesha kwa kuwafungia. Wote walifeli darasa la 7, ikawachukua 4 na kuwasomesha Pugu mpaka form 4, wote walipata 0, wakawanubulia nguo na vifaa vya kisasa, wakawarudisha kijijini ili kusaidia wenzao, after one week wakaja kuwatembelea, vitu vyote walivyowapa, wakavikuta pale pale, kitu cha ajabu, hata wale 4 waliosoma, zile nguo zao walivua na kuziacha pale!, walipoulizwa wakasema wenzao walitaka kuwaua!.hao wahadzabe na wenzao kuwa na IQ ndogo umepata vipi,umetumia shule, wahadzabe na wenzao mliwapeleka shule kama wahaya?
Shule za pwani na Zanzibar mlizipa rasilimali elimu kama shule za kaskazini na bukoba?
Kakuambia anataka uraisi?Pamoja na kumzidi Samia kwa vitu vyote, Tibaijuka hawezi na hatakaa awe Rais.
Nikufahamishe: U-Rais, kwa mtu yeyote, is the "Pinnacle" of success
Niliwahi kuandika kitu humu kuhusu IQ za makabila Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? Kabila la Wahaya ndio the top IQ in Tanzania, ukanda wa Pwani including Zanzibar, Pemba na Mafia ni average IQ, na primitive tribes kama Hadza, Wataturu, Barbaig, Watindiga ndio the lowest!
Hakuna Ubishi kuhusu IQ ya hao wawili, sio busara kulinganisha mbingu na nchi!.
Acha hizo!. Niliwahi kuzungumzia IQ za Zanzibar Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nilizungumzia IQ Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?
P
Na samuya kamwe hawezi pata cheo cha ukurugenzi wa UN kama alivyokuwaga mama Tiba kwasabb hana uwezo!.Pamoja na kumzidi Samia kwa vitu vyote, Tibaijuka hawezi na hatakaa awe Rais.
Nikufahamishe: U-Rais, kwa mtu yeyote, is the "Pinnacle" of success
Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
View: https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny