Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, ripoti ya Tume ya Jaji Chande (Aprili 2026) imekupa fursa ya kipekee ya kuandika historia. Kupitia timeline ya miaka mitatu (2026–2029), nchi inaweza...
4 Reactions
58 Replies
650 Views
Mlibeza kazi nzuri aliyokuwa akiifanya hayati JPM. Mlibeza na kudai ni maendeleo ya vitu. Leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Hakuna cha maana kinachofanyika. Hata mradi wa Sgr...
10 Reactions
99 Replies
1K Views
Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama...
0 Reactions
8 Replies
141 Views
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari. Punde si punde wakairuhusu. Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA. Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA...
5 Reactions
11 Replies
217 Views
Nyie CCM mna miaka 3 mamulakani.ikifika 2030 hatuwez tukaikubl hik chama cha makatili.
4 Reactions
2 Replies
74 Views
John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa...
4 Reactions
8 Replies
254 Views
Bado siku 12 tangu Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) watoe tamko la kuitaka serikali kumwachia Lisu ndani ya siku 30. Unadhani nini kitafuata maana hawa hawatamwachia. Hawana jeshi...
8 Reactions
32 Replies
604 Views
Jumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa...
36 Reactions
34 Replies
1K Views
Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi. Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo. Pole Sana Aminata Elimu...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imesema inaendelea na msako wa Alex Msama ili ajibu mashtaka yanayomkabili Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
6 Reactions
40 Replies
884 Views
R.I.P. Daniel mbega aliyekuwa mhariri wa Gazeti la Dira ya Mtanzania enzi hizo Mimi nipo chuo kikuu. Daniel mbega ndiye aliyenikutanisha na Alex Msama Kwa mara ya kwanza ambapo alitaka nimuoji na...
4 Reactions
12 Replies
449 Views
Ukieleweshwa , Sikiliza , Tafakari. Adui Yupo Karibu. Uwe makini. Ila Punguza Ujuaji na Kujiamin. Eloh Eloh.
3 Reactions
13 Replies
236 Views
Kichwa cha uzi kinatoshea niende kwenye why! Kwa sababu Ccm hawawez toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha na wanaoufanya kwa watanzania so sio rahisi hawa jamaa kuachia...
5 Reactions
23 Replies
236 Views
Ni angalizo la kuchukua tahadhali. Hakuna tetesi au lolote, but one ought to think wider and wider. Divergent thinking! Ya dreva wa Heche itupe funzo kuwa you have to be extra careful Kama...
1 Reactions
1 Replies
54 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella ameiambia Dunia leo Mchana kwamba Bangi ya Arusha ndio inayoshikilia rekodi ya Ukali kuliko zote Duniani. Taarifa hii Muhimu imetolewa na Mkuu huyo wa Mkoa...
23 Reactions
105 Replies
9K Views
"Nitakung'oa...nakwambia nitakutumbua,unapokea mshahara wa bure unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako"..Haya ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, akimbwatukia bosi wa...
16 Reactions
362 Replies
45K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka...
3 Reactions
116 Replies
805 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi...
1 Reactions
15 Replies
285 Views
Vijana walishitakiwa kwa kigushi nyaraka na kijipatia mokopoya HESLB waachiwa huru! Msikilize anavyio jinadi
1 Reactions
3 Replies
97 Views
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya...
18 Reactions
53 Replies
644 Views
Back
Top Bottom