Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

Duuh.. Ndio maana kuna watu walikuwa wanalazimisha hii hela ilipwe.. Maumivu ya kichwa huanza pole pole
 
Hela imelipwa kisheria! Tatizo mnakurupuka na vikaratasi vya kufungia maandazi alafu mnahemka. Huwezi kujua kwann PAP kachukua fedha za escrow kama hujui Escrow ilianzishwaa kwa taratbu zipi kwenye mkataba wa kuuziana umeme baina ya TANESCO na IPTL. Tafuteni taarifa zilizoshiba siyo unalazimisha watuwakuelewe kwakupigia mistari visentesi.
 
Nimezisoma docs zote, mie naona ni nyaraka za mawasiliano ya kawaida kiofisi kuhusu hayo malipo.

Inabidi tupate mwanga zaidi katika huu 'ufisadi' najaribu kujiuliza maswali haya: Je, huo umeme Tanesco walitumia? na vipi kama malipo yangefanywa kila mwezi kama walivyolipwa wengine akina Symbion na Songas, hiyo pesa isingetumika?
 
Wewe ndio Maswi nini ? Maana naona unatetea kwa juhudi na maarifa.
 
Nimezisoma docs zote, mie naona ni nyaraka za mawasiliano ya kawaida kiofisi kuhusu hayo malipo.

Inabidi tupate mwanga zaidi katika huu 'ufisadi' najaribu kujiuliza maswali haya: Je, huo umeme Tanesco walitumia? na vipi kama malipo yangefanywa kila mwezi kama walivyolipwa wengine akina Symbion na Songas, hiyo pesa isingetumika?

umedefine great thinker kimatendo! bravo bravo! siyo mjinga kule juu ameshindwa hata kupakua hizo files nasimuyake aliyonunuliwa na shemeji yake alafu anatype uchafu tu.
 
nimesisimka mno kusoma hizi nyaraka ...khaaaa hii nchi jamani
 
Hivi mnasoma au mnaleta POROJO? kasome attachment ya 6, page number 4, kipengele number ii.

attachment.php

Untitled.jpg
 
nimesisimka mno kusoma hizi nyaraka ...khaaaa hii nchi jamani

umeelewa kweli kilichoandikwa msije mkawa ndio wale mnageuza gazeti juu chini, chini juu alafu mnasikitika kwamba hii habari inahuzunisha kweli.
 
Back
Top Bottom