Wakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina...
Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na...
Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu...
Kama Mbowe ni mlamba asali na Lissu ni mwanaharakati wa haki kama anavyoitwa na wafuasi wake waliokuwa wafuasi wa Mbowe hapo awali kwa hali ya Tanzania na watanzania mbowe katumia akili lissu...
https://youtu.be/0yWSDCS7npI?si=vMiCzSmIfraQPirz
➡Amesema yuko hapa hapa nchini (kwa sasa na muda ule akihojiwa alikuwa Morogoro) na kwamba muda wowote atakuwa DSM
➡Bado anasisitiza, mchakato wa...
Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo...
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha...
COURT DISMISSES DP WORLD PETITION
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
...........................................................
Judges Danstan Ndunguru, Mustafa Ismail and Abdi Kagomba ruled in favour...
Sina mia mbaya na wagombea ila Nina waswas yakuwa Wagombea wa VITI vya uraisi nchini Tanzania ni Masster na Mapdri walio zaa nje ya ndoa.
Nataka niwakukumbushe nyie vijana wa 2000 Kuna mtu...
https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba
Mfumo unaotumika...
HUU HAPA UTAMBULISHO WA ALEX DENIS MUGANYIZI
Mgombea Ubunge – Bukoba Mjini (CCM) Aliyeshika nafasi ya pili.
Alex Denis Muganyizi ni mfano wa kiongozi wa kisasa anayechanganya kwa ustadi taaluma...
TOP ya Maraisi kulingana na uwezo wao:
1. Nyerere
Alitumia akili nyingi kutupatia uhuru bila kumwaga damu, aliongea vitu vingi ambavyo vingine vinatokea sasa, uzalendo usiokuwa na mashaka, nchi...
Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa
Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa
Leseni 147 za maeneo tengefu
Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na...
TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa"
Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi...
Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi...
Wadau, ushahidi huu wa picha unaonyesha kuwa plate number SSH 25 30 ni nyingi sana, na inaweza kuwa hatari kama si rasmi. Kama hawajakamatwa, wacha drama na tuendelee na maisha – lakini mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.