“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia...
Hizi kampeni zimejaa usanii sana, nimekuwa mfuatiliaji wa kampeni hasa ngazi ya Urais ila nayokutana nayo yananifikirisha sana, sasa sielewi hawa wanaosifia na kumpaka mgombea huyo mafuta kwa...
Kesho baada ya Tundu Lissu kuhitimisha rejoinder ya hoja za upande wa Jamhuri kupinga mapingamizi yake, itathibitika pasipo shaka yoyote kuwa, kulikuwa na conspiracy to distract justice of the...
Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025.
Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya...
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole
https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY
Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka...
Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite!
Naona polisi...
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?
Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona...
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani...
Ameandika Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche kupitia ukurasa wake wa Instagram "Magari waliyopewa vyama vya mfukoni kufanyia kampeini ni rushwa.. Lengo ni kujaribu kuhalalisha uchafu...
Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na...
Mbunge Mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Salome Makamba apiga magoti mbele ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kumuombea kura mgombea nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu...
Mwenyekiti wa Chemba ya Wachimbaji madini Tanzania, Mhandisi Filbert Rweyemamu amesema shughuli za uchimbaji wa madini nchini haziwezi kuanza bila kufuata sheria kuu nne zinazolinda masilahi ya...
Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja:
Na Ndimara Tegambwage
Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la...
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi...
Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi.
Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.