Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa.
Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo...
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.
Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.
Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema...
Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza...
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.
Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete...
Wakati ambao mchakato wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu ukiendelea, Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kivule, lilipo Wilaya ya Ilala Jijini Dar...
Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa...
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi...
Na Emily Mwakilembe
Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa...
Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu.
Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka...
Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye...
Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake...
Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi.
Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka...
Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma kuamuru kuwa Luhaga Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya kugombea Urais wa...
Ni rasmi sasa ule msemo wa mtoto wa kwanza kutetea haki yake umetimia
Kilichokuwa kinaendelea kati ya Mpina na INEC jumlisha Mahakama yalikuwa ni malalamiko kati ya CHAUMMA na ACT kwa Baba yao...
Kila mtu anajua shutuma zilizopo juu ya watajwa hapo juu....
Sasa wanaenda kujisafisha kupitia kesi ya Mpina vs Tume... INEC
Ni hivi, Mpina anaenda kushinda
Mahakama inatoa haki haitoi?
ACT ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.