Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda Manyoni atoa tamko la kutunza Amani na Ushiriki Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda (Maafisa Usafirishaji) Wilaya ya Manyoni, Edward...
"Leo nimerudi tena kwenu kwa ajili ya kuwaomba mnitume niende nikakamilishe kazi ambayo niliianza mwaka 2015 ikakayishwa mwaka 2020 tulifanya Kazi kubwa sana tulijenga heshima ya mji wetu...
Kunamdau mmoja nilimpa ahadi ya kuanzisha uzi unaohusu mfumo wa upigaji Kura kisasa zaidi. Kulingana na madai mbalimbali kuhusu kuwepo wizi wa Kura, kutokana na ufinyu wa uwazi katika mchakato...
Mgombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) akiwa kwenye Mahojiano katika kipindi cha one on one Wasafi TV aliulizwa swali na mwandishi wa habari...
SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA
1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa)
2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake)
3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa...
Nawasalimia kutoka Canada ya Bonyokwa.
Kuna wajumbe wa CCM kata ya Bonyokwa, Segerea wanapita kila kaya kuomba kura za Diwani na Mbunge, na kisha huomba majina ya wanafamilia wote waliokidhi...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu...
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujuzwa, Wabunge, Mawaziri na Rais bado wanatumikia viti vyao ilhali wapo kwenye kuomba kura kwa wananchi?
Kwa sababu bado huko kwenye baadhi ya majukwaa...
Kwa maneno ya Jaji aliyesikiliza shauri hili mjini Dodoma leo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilimnyima haki ya msingi ya kusikilizwa Mheshimiwa Luhaga Mpina, jambo ambalo ni kinyume na Katiba...
ACT kilikuwa chama cha kwanza kuhitaji reforms za kikatiba ili zitusaidie kwenda kwenye uchaguzi huru na wa haki.
Lakini hakuungwa mkono akaonekana msaliti anatumiwa na CCM kuiremba katiba.Na...
Bw. Bismass Shillah aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadae kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ametangaza kurejea rasmi CHADEMA kwa kile alichodai kuwa...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Geofrey Kiliba ameendelea na ziara yake mkoani Singida ambapo alikutana na vijana maafisa usafirishaji katika wilaya ya Manyoni.
Soma pia...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na...
Kiongozi mstaafu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman kwa tiketi ya chama hicho ndiye anayefaa kuongoza kisiwa hicho kutokana na kuwa mstari wa...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema akipata ridhaa ya kuongoza dola, ataanza na marekebisho ya Katiba ili kuvifanya visiwa hivyo kuwa mikononi mwa...
Hii imekaaje wakubwa, FBI wamefanikiwa kumkamata muuaji wa Charlie Kirk wakitumia chini ya siku moja tu kufanikisha hili.
Ila, miaka 8 sasa imepita tangu mnadhimu mkuu wa Upinzani Bungeni, mtu...
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni kunadi sera Kigoma Mjini amewaahidi wananchi kuwa watahakikiha barabara zote za vijijini ambazo hazipo...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
Bila huyu mwamba leo
1. Mradi wa neti za kuzuia malaria zisingekuwepo
2. Miradi ya kutoa dawa ambazo za wagojwa wa ukimwi zisingekuwepo.
3. Umeme vijijini hata ulianzishwa na huyu mwamba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.