Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Kijamii Facebook Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ameandika kuhusiana na Mkutano wa Rais Samia anayemaliza muda wake na pia ni Mgombea Urais Kupitia Chama cha...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama cha Act Wazalendo, Cyprian Musiba, ameeleza kuwa kuna njama zinazolengwa kumhujumu kwenye uchaguzi dhidi ya mpinzani wake, jambo ambalo amesisitiza...
2 Reactions
7 Replies
622 Views
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amesema serikali yake...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za...
1 Reactions
2 Replies
460 Views
Inakuwaje mnaosombwa kama mizoga? Mnataka ishara Gani zaidi kuamini kwamba huyu mgombea wa CCM uwezo wake ni mdogo.? Kila ishara mmepewa lakini mnaosombwa kwenye Malori na mmeridhika kabisa...
3 Reactions
3 Replies
335 Views
Mkazi wa jimbo la Mchinga akerwa na ahadi alizotoa Mbunge wao nakudai anawaomba wananchi waamke maana Chama cha Mapinduzi kinawachezea akili
7 Reactions
14 Replies
575 Views
Sitii neno. Naleta kama ilivyo. Najua Zitto Kabwa yumo humu. Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini. Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka? Je, imekuwaje akamuacha...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni Kigoma Mjini ameeleza namana mikakati na miradi ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA YA MIILI YA WATU SITA KUONEKANA MTO RUVU Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa katika mitandao ya...
0 Reactions
5 Replies
667 Views
CCM inakutana na changamoto kubwa katika kukusanya wanachama kwenye mikutano bila kuzingatia muda wa watu. Kwa mfano, Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, wanachama...
2 Reactions
8 Replies
942 Views
"CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa. Huko ukienda kwenye majimbo, kazi zilizofanywa na Dkt. Samia ni kubwa haijawahi kutokea, haijawahi kutokea! Ukienda kwenye afya, ukienda...
1 Reactions
2 Replies
245 Views
Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao. Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni...
1 Reactions
2 Replies
243 Views
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Kati ya Septemba 5 -7 2025, JamiiForums ilipita changamoto mbalimbali huku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa...
208 Reactions
315 Replies
14K Views
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia. Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya...
1 Reactions
6 Replies
449 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Watanzania wawili, Kumbusho Kagine na Bubelwa Kaiza, waliokuwa wakiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga Kanuni za...
1 Reactions
4 Replies
692 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe...
1 Reactions
13 Replies
854 Views
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe "Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu...
3 Reactions
15 Replies
700 Views
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tandahimba na Newala (TANECU LTD) Karimu Chipola amemuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Back
Top Bottom