Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 976
- 1,952
Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye uchaguzi swali langu linalobaki ni: kweli mpinzani wake ni nani?
Hii idea ya vyama vingi vya siasa kwenye uchaguzi huu haipo na ni unrealistic. Ndiyo maana, mtu akijiuliza leo, huenda akahisi kama chama tawala kipo kwenye mashindano ya kuendeleza nguvu zake badala ya kushindana na wapinzani wa kweli wanatumia nguvu nyingi kushindana na hawa waliopewa V8 au kuna wengine huko wakuu?