Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,717
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
Mlinzi wa mama alisimama haraka kuhakikisha kugalagala hakufiki miguuni kwa boss wake.Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
View attachment 3470334
Kama jinga , yeye mwenyewe hajapata halafu anagalauka kumuombea mwenzakeKuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
View attachment 3470334
Wameanza tena!!!Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
View attachment 3470334