Kwa mujibu wa afisa mtendaji mkuu wa New Habari ambao ndio waajiri wa Kibanda ndugu Hussein Bashe, yupo mwanasiasa aliyetangaza vita ya wazi na waandishi wa habari kwa kuwa eti ni kikwazo kwa...
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.
Anasema iko siku atawataja...
Picha aliyoisemq Tundu Lissu ni hii kwamba akiwa Tarime alipigwa na Polisi mpaka wakachana Kombati yake.
Hii Kombati ilivyo ngumu inakuwaje wanampiga mpaka kuichana?
Yawezekana walikuwa...
HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine,
Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa...
Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji.
Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
Wanabodi
Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu...
TUNDU LISU na MANDELA
1. Wanaomfananisha Tundu Lisu na Nelson Mandela, kimantiki inabidi waifananishe serikali yetu pendwa na ya makaburu. Je, Tutaelewana kweli? TURUDI MEZANI BILA HILA...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama...
Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.
Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama...
Hii ndio hali halisi ya mambo ilivyokuwa kwa Upande wa Mawakili wa serikali
Pichani ni wakili Msomi Nassoro akiguswa na Nondo za Wakili wa Utetezi Tundu Lissu, katika kesi ya Uhaini inayomkabili...
Wakuu!
Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.
Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza...
Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka...
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu.
Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
Mandela alishitakiwa kwa sheria na makosa halisi kwa mujibu wa katiba ya kibaguzi ya wakati huo.
1962 kosa la kuchochea mgomo wa wafanyakazi. Kesi ilichukua miezi 3 tu ikaisha akafungwa miaka 5...
Kwa mfano we cheki,
mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana...
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order...
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.