Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza...
2 Reactions
16 Replies
201 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi...
2 Reactions
13 Replies
309 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili...
4 Reactions
30 Replies
437 Views
Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali...
1 Reactions
6 Replies
144 Views
"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio...
17 Reactions
69 Replies
1K Views
DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Vijana wa Lyatonga Mrema Walioanzia Siasa Nccr Mageuzi, TLP wengi sio wa Kuwaamini. Mzee Mrema alikua mbobezi sana kwenye Kuandaa miamvuli, Vipanya ndani ya Vyama vya siasa. Wenye akili...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Nani alimtuma kuandika ujumbe kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alitoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na mumewe, Hafid Ameir? Hata kama kweli Lissu alimuuliza...
5 Reactions
7 Replies
194 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kuwa moto huko CHADEMA. CHADEMA wanaendelea kuukataa Unyumbu. CHADEMA wanaendelea kukata minyororo ya Umbumbumbu na utumwa . Sasa wameona kumbe walikuwa...
1 Reactions
8 Replies
112 Views
Na Martin Maranja Masese Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga...
44 Reactions
195 Replies
3K Views
Unakumbuka ulikataa kumsalimia Makonda tena msibani? Hukujua kuwa demokrasia ya haki Haina upande? Kama uko sahihi, basi muombe radhi Paul Makonda, mana demokrasia Haina upande?
5 Reactions
22 Replies
414 Views
My Take Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange. Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇...
5 Reactions
40 Replies
356 Views
Hapa ni Dar Tegeta Kibaoni wafanyabiashara wanatakiwa kutoka kwenye Maeneo yao haraka iwezekanavyo.Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake usijione upo salama, tuungane kupigania haki.
3 Reactions
24 Replies
368 Views
TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Bado Tupo! Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao. Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake...
24 Reactions
122 Replies
6K Views
Nilitegemea madini" on the law regarding treason indictment. Lakini sivyo, ni KITCHEN PARTY ya akina mama wakiwa jikoni kuchambua mchele wa ndoa ya mkeka! nilitegemea kusikia arguments kuhusu...
5 Reactions
6 Replies
151 Views
Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua...
3 Reactions
17 Replies
275 Views
Vijana mmesikia ushauri kutoka kwa mbunge? ========== Akizungumza katika kipindi cha One on One kinachorushwa na Wasafi TV, Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, amewataka vijana wanapomaliza masomo...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Jenerali Ulimwengu, amekosoa utamaduni unaoendelea nchini wa kukwepa kuhoji au kutowajibika pindi matatizo yanapojitokeza katika michakato ya uchaguzi na mfumo wa kidemokrasia. Akizungumza leo...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…