Godbless Lema muombe radhi Paul Makonda

Godbless Lema muombe radhi Paul Makonda

Punguani wewe kamuombe wewe mlambe kabisa
Nimeangalia profile Yako nikakufatilia michangoYako jamvin, Kuna kitu nikakigundua kwako
Punguani wewe kamuombe wewe mlambe kabisa
Huwezi nipotezea muda kubishana na wewe, angalia avatar Yako ilivyo, samahan mkuu, tafuta mnao endana hii sio level zako
 
Attachments

  • Screenshot_20260914-104602.jpg
    Screenshot_20260914-104602.jpg
    32.8 KB · Views: 5
Unakumbuka ulikataa kumsalimia Makonda tena msibani? Hukujua kuwa demokrasia ya haki Haina upande?

Kama uko sahihi, basi muombe radhi Paul Makonda, mana demokrasia Haina upande?

Lema ni mnafiki sana gentleman katika siasa za Tanzania, humjui tu.

halafu hua anasahu mno,
leo anaweza akasema hivi, na kesho akasema vinginevyo kwenye the same event 🐒
 
Kaka uko sawa tuanzie hapa hii yote ni misiba, linapo kuja jambo la ungwana tunaweka tofauti zetu pembeni sio? Basi hakustahili kuacha kumsalimia Paul makonda msibani, maana hiyo sio demokrasia ya haki anayo isema Leo.
 
Kuna mwanasiasa moja mwandamizi pale Kenya anaitwa Mandago,

aliwahi kusema,
siasa sio kitu ya kuweka kwa roho, inafaa kuishia kwa lungs.

wengi hawakumuelewa,
but hivyo ndivyo inavyofaa kua.

kwa maoni yangu,
vitu kama msiba, kwasababu hauzoeleki na hauna hodi. Leo unaweza kutokea kwangu, kesho ukatokea kwako, msiba unafaa kutuunganisha kama waja wa Allah regardless of our political difference, religions or our tribes 🐒
 
Ndo mana nika shangaz, kipindi kile kuto msalimi makonda haikuwa ungwana, isitoshe makonda mwenyewe alionesha dhamira ya kumfata amsalimu, jamaa aka kausha sasa Leo hii Kesha sahau, tuwe na kumbukumbu wakuu
 
Katika watu sijawahi kuwaamini ni Lema, hata ule uchaguzi wa juzi nilishangaa vipi kumuunga mkono Lisu na sio Mbowe. Na katika mtu cdm wanapaswa kuwa makini naye huyo ni Lema. Huwa anajali ana maslahi binafsi, na katuma salamu za rambirambi kwa Samia kwa lengo maalum, maana hata huyo Lisu hakumuagiza yeye. Anadhani watu wanasahau uhuni wao.
 
Kuna mwanasiasa moja mwandamizi pale Kenya anaitwa Mandago,

aliwahi kusema,
siasa sio kitu ya kuweka kwa roho, inafaa kuishia kwa lungs.

wengi hawakumuelewa,
but hivyo ndivyo inavyofaa kua.

kwa maoni yangu,
vitu kama msiba, kwasababu hauzoeleki na hauna hodi. Leo unaweza kutokea kwangu, kesho ukatokea kwako, msiba unafaa kutuunganisha kama waja wa Allah regardless of our political difference, religions or our tribes 🐒
Ni kweli vitu kama ungonjwa au misiba Huwa haipigi hodi
 
Back
Top Bottom