Maswali matano kwa Godbless Lema

Maswali matano kwa Godbless Lema

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,866
Reaction score
3,115
  • Nani alimtuma kuandika ujumbe kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alitoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na mumewe, Hafid Ameir? Hata kama kweli Lissu alimuuliza Makamu Mwenyekiti wa chama hicho wa Zanzibar, Said Mzee Said, kulikuwa na haja gani ya ku hype hizo salamu wakati huu ambao Chadema inawindwa kila mahali kutokana na misimamo yake?
  • Baada ya wanaharakati kumshukia na kumlaumu kwa hatua hiyo, Lema akaendelea kujitetea na katika utetezi wake kuhusu jinsi alivyorejeshewa passport yake akisema alisaidiwa na Mwanasheria Dickson Matata
  • Akaendelea kusema kuwa Makamu Mwenyekiti John Heche alirudishiwa passport yake baada yeye kuongea na Mkurugenzi wa usalama wa Taifa. Sasa, kulikuwa na haja gani kueleza mambo ya Heche?, Halafu anasema wengine hatasema, hao wengine ni kina nani?
  • Haya, suala la passport limeulizwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga kwenye maswali ya dodoso na Heche akajibu kuwa passport yake alirudishiwa baada ya kuiandikia barua Idara ya Uhamiaji kupitia kwa Mwanasheria mkuu wa chama chao, Dk Rugelemeza Nshala. Sasa hayo mambo ya kwamba Heche alizungumza na Mkurugenzi mkuu wa TISS Lema ameyatoa wapi? Hiyo sio nia ovu kwa kiongozi wake?
  • Tetesi kwamba Lema amekuwa akivujisha siri za vikao zilianza tangu wakati wa kikao cha kamati kuu kilichofanyika mkoani Kigoma Juni 2026, ambapo ilidaiwa kuwa Lema alitoffautiana kauli na Heche kikaoni na suala hilo likadakwa na maadui wa Chadema wakiwamo makada wa CCM na Chaumma. Lema anaweza kufafanua suala hilo nini kilitokea?
  • Ni wakati wa kikao hicho, dereva wa Heche alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyokuwa amefikia, hivyo, baada ya uchunguzi, mwili ulikwenda kuzikwa wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Kwa nini Lema, hakushiriki mazishi wala hata kutoa salamu za rambirambi kama anavyotaka chama chake kitoe salamu hizo kwa Rais Samia?
 
Kwa
View attachment 3671048

Kwa taarifa zilizopo mitaani ni kwamba ndugu mboe lema sugu na bony wamelamba asali ili kuhakikisha wanapushi ajenda ya maridhiano na kikwazo ni lisu akiwa gelezani na heche akiwa nnje kwaiyo tujipange kuona mapichapicha yasioeleweka kutoka kwa viongozi
 
Kwa siohasa (Siasa) za Danganyika lolote linawezekana.
 
Chadema ni genge la wahuni hawana wanachoamini

USSR

CCM mpaka sasa hawajui makamu wa Rais mataafu yuko wapi stupid bora hata Chadema mwenyekiti wao alichaguliwa kwa uwazi dunia nzima inaona huyo kajipachika madarakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom