Nimechoka na hekaya za Katuga, sisomi tena

Nimechoka na hekaya za Katuga, sisomi tena

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,217
Reaction score
102,315
Nilitegemea madini" on the law regarding treason indictment. Lakini sivyo, ni KITCHEN PARTY ya akina mama wakiwa jikoni kuchambua mchele wa ndoa ya mkeka!

nilitegemea kusikia arguments kuhusu hoja kama hizi

ndictment for treason:

1. An act has been committed

2.The act is treasonable

3. The act is against a sovereign or a state; and lastly

4. The act was done by a person who owes allegiance to the sovereign or the state.
 
Nilitegemea madini" on the law regarding treason indictment. Lakini sivyo, ni KITCHEN PARTY ya akina mama wakiwa jikoni kuchambua mchele wa ndoa ya mkeka!

Sawa. Usisome kabisa!
 
Tunamalizia mkuu, baada ya shahidi huyu, huyo bwana hatakuwa tena na mbwembwe za maswali maana wanaofuata hapo ni mabosi wake.
Pesa zote anazolipwa alilipwa kupambana na mashahidi kutoka CHADEMA. DCI ni bosi wake, hatamkawiza kizimbani na maswali ya kijinga. 😊
 
Hatimaye umemuanzishia thread.
Hongera sana wakili mkuu Katuga kwa kuonesha ukubwa wa Serikali na vyombo vyake
 
Nilitegemea Precedent nyingine kama ya SMZ vs Khamis Ali Machano...

Ila kwa mwendo huu niliona kabisa hakuna kesi wanaendesha hawa pp
 
Back
Top Bottom