Godbless Lema Wamekustukia Mangi?

Godbless Lema Wamekustukia Mangi?

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,288
Reaction score
5,219
Vijana wa Lyatonga Mrema Walioanzia Siasa Nccr Mageuzi, TLP wengi sio wa Kuwaamini.

Mzee Mrema alikua mbobezi sana kwenye Kuandaa miamvuli, Vipanya ndani ya Vyama vya siasa.

Wenye akili wamenielewa.

Nccr , TLP, iliwazaa akina Mabere Marando , Godii Lema, Mch Msigwa ( karudi kazini), Josee Selasini, James Mbatia nk.

Wengi wao ni wale wale tu.

miaka 2010-2020 Ccm ilifanikiwa Kupandikiza Viongozi Ndani ya Bavicha Mwenyeviti 2 , Makatibu 2, Naibu 1 wengi wao ni project.

Vyama vya Project Tanzania ni vyote utofauti ni muda na nyakati tu za Utawala.

Gm- Summy Russia.
 
Huwez piga deal na mchaga ...aliyesema mchaga asiwe presdaa alikuwaa sahihi jamaa kwao kila ktu n fursa pesa mbele ...
 
Back
Top Bottom