Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu. Kinachoendelea sasa...
9 Reactions
25 Replies
440 Views
Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu. Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho...
15 Reactions
37 Replies
598 Views
Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo...
0 Reactions
9 Replies
190 Views
Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo...
6 Reactions
7 Replies
211 Views
Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu...
12 Reactions
28 Replies
438 Views
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
2 Reactions
14 Replies
129 Views
Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema. Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa...
14 Reactions
96 Replies
1K Views
Wanaukumbi. John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India...
7 Reactions
109 Replies
1K Views
Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc. Hivyo...
7 Reactions
16 Replies
330 Views
TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE...
4 Reactions
17 Replies
287 Views
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya...
54 Reactions
288 Replies
36K Views
Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa...
41 Reactions
97 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza...
17 Reactions
79 Replies
10K Views
Hongereni na kz ndugu zangu! Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu . Protokali...
4 Reactions
40 Replies
738 Views
Ujumbe wa Tundu Lissu kwenye Siku ya Demokrasia Duniani amesema "Demokrasia siku zote zinagharimiwa! Zinapiganiwa! Hazishuki kutoka mbinguni kama mana! Kwa hiyo mnataka demokrasia? Inabidi...
6 Reactions
4 Replies
182 Views
Mimi niliwahi kuwa mkazi wa eneo linaloitwa Namanga Makangira, ni karibu sana na Oysterbay na Msasani Makangira. Enzi hizo, miaka ya 2000 mpaka 2011, eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
Sasa hivi ukifanya mistake ndogo tu wafuasi wa Chadema wanakushusha moja kwa moja tunasema kama ulikua ligi kuu unashuswa daraja moja kwa moja ndo kinaenda kumtokea Nabii koko anashindwa kusoma...
24 Reactions
66 Replies
984 Views
Baada ya KUFANIKIWA kuangusha mifumo mibovu ya nchi naona Bado Kuna kazi kubwa ya kuandaa jamii yenye vijana waaminifu na wenye viwango Sasa sijui tatizo limesabishwa na huo mfumo mbovu wa Chama...
6 Reactions
16 Replies
223 Views
Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza...
2 Reactions
16 Replies
201 Views
Back
Top Bottom