GE2025 Lissu: Leo mumeniangusha hamjaijaza Mahakama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,033
Reaction score
6,885
Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!

Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, amewaambia wafuasi na wanachama wa chama hicho kuwa wamemuangusha kwa kutojitokeza kwa wingi mahakamani hapo.

"Leo mumeniangusha hamjaijaza Mahakama," amedai Lissu huku akiwanyooshea kidole wafuasi hao ambao walikuwa ndani ya ukumbi wa Mahakama ya wazi namba moja.

Huyu mwamba akiwa Rais Tanzania itachangamka kuliko wakati wa Magu.
 
Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!

Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, amewaambia wafuasi na wanachama wa chama hicho kuwa wamemuangusha kwa kutojitokeza kwa wingi mahakamani hapo.

"Leo mumeniangusha hamjaijaza Mahakama," amedai Lissu huku akiwanyooshea kidole wafuasi hao ambao walikuwa ndani ya ukumbi wa Mahakama ya wazi namba moja.

View attachment 3486328
Wanahangaika na mtu ambaye ni kama hana tena cha kupoteza. Nadhani wanajisikia vibaya!
 
Back
Top Bottom