Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,119
Reaction score
31,639
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
 
Na wewe unajihesabu kuwa ni mtu hai, kweli?

Halafu unaandika kufuru, eti "Kama wazalendo..."; nyinyi mnao uzalendo gani ndani ya nchi hii. Unajuwa maana ya uzalendo ni nini?

"Shabiki wa machafuko"; Ni nani anayeteka na kuua waTTanzania; ni nani anafuja raslimali za waTTanzania; ni nani fisadi wa nchi hii, Huwajui? Nikisema wewe ni mzoga utaona kuwa ninakukosea heshima?

Uanndishi wako ni wa kichizi kwelikweli! Hebu soma tena hayo maneno ya mstari wa mwisho, uliyo yaandika mwenyewe.
Hiyo "namna yenu wenyewe wa kuwaibia waTanzania na kuwaelekeza kuwa watwana ndani ya nchi yao, ndiko "kujikwamua kwenye umaskini kwa namna yenu wenyewe"?

Huyu anayekulipa kwa kazi mbovu ya namna hii unayoleta hapa Jukwaani, hiyo pesa inapotea bure; na kwa bahati mbaya yeye haimuumizi kupoteza pesa ambayo hakuitolea jasho kuipata; kwa sababu ni pesa ya ufisadi.
 
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29, jitokeze kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P
 
Mimi namataka Lissu
Kwa vile Lissu sio mgombea, nakushauri nenda kamchague mgombea mwingine yeyote, mfano hata sisi Wasukuma, tulipanga kura zetu zote kwa Mpina, Mpina akawa sio mgombea, sasa tutampa mgombea anayelipa!. Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige
P
 
Wagombea wengine wanaoweza kuwa mbadala wa Lissu ni nani?
Lissu hana mbadala!, Ila kuna mgombea mmoja tuu anayelipa, kamchague mgombea huyo!, tena nakuomba asikudangaye mtu usijitokeze kupiga kura Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!
P
 
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?

Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?

Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?

Tutafakari
Nina mashaka makubwa na uraia wa baadhi ya viongozi wa juu.
Huenda sio raia wa Tanzania na hivyo hawana uchungu na taifa letu.
Nina uchungu sana na taifa langu na nikibahatika kumuona anayeliharibu niko tayari kufa naye.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom