Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,458
- 867,150
Kuna kelele za kawaida kwa wanaoitazama kwa juu uso wa kesi hii, lakini ndani ya frequency ya Court Chamber Alpha, operesheni hii imevuka kiwango cha kesi.
Kilichoonekana leo ni intel chessboard upande mmoja unacheza na maswali, mwingine na ukimya.
Kila swali lililotoka kwenye midomo ya Operative L, limebeba micro detonator ya kisaikolojia, halilengi jibu, linatafuta reaction chain.
Kwa walioko ndani ya mduara wa siri, wanajua hii si cross-examination ya kawaida. Ni data extraction maneuver inayo test loyalty architecture ya system nzima.
Operative L ametupa probes kwenye neural map ya structure. Alikuwa naanza juu juu, akionekana kuuliza maswali ya kisheria, lakini ndani ya kila swali kuna data packet yenye malengo matatu.
Kwanza, To expose hidden allegiance.
Kila jina alilolitaja kuanzia Werema, Masaju, Feleshi, Rumanyika lilikuwa code beacon. Anatafuta pattern of loyalty, sio majibu ya karatasi.
Pili, To test the firewall.
Jibu la shahidi "sijui" limekuwa standard encryption response kwa upande wa defense. Lakini kwa macho ya intel, "sijui" si ujinga ni cover protocol.
Tatu To provoke the system’s reflex.
Kila wakati Falcon Speaker alipogusa jina lenye power proximity, kuna vibration kwenye ukuta wa mahakama. Majaji walijadiliana, wakijaribu kudhibiti exposure. Hiyo ni panic signal.
Inaonekana inside sources kuna baadhi ya legal officers ni dual agents, wanahudumia sheria mchana, lakini usiku wana access ya moja kwa moja kwenye executive corridor.
Credit: FB