Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Watakuwa wanajifanya hawajui kwamba kuna mazafaka anaitwa Faustine Mafwele!
 
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Wanaogopa kutekwa na kufirwa Mafwele siyo mtu mzuri hata kidogo
 
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?

Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja

Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Kama mafwele alisema wazi amewakamata WAJEDA ndiyo itakuwa CHANDE?
 
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?

Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja

Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Tume yenyewe ni ya CCM na police CCM mpaka hapo unategemea nini????
 
Back
Top Bottom