Muda huu hata wakiambiwa na wananchi walale chini kwenye tope ili wapate kura watalala tu!
==============
Leo Oktoba 7, 2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo ameendelea na...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.
Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Haji Manara leo Oktoba 28, 2025, amefanya kampeni za kutembea mtaa kwa mtaa (walking campaign ) ndani ya Kata ya Kariakoo...
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi...
Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya...
Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿
Na
👇🏿
ujasiri,
uthabiti,
Uamuzi,
kujitolea,
kuzingatia,
Itikadi,
Ustahimilivu,
Mwendelezo,
Chanya,
Umoja,
Umoja,
Mtazamo wa kawaida...
Taarifa iliyopo ni kuwa kesho maandamano yatakuwepo kama kawaida lakini yatafanikiwa kwa asilimia ndogo sana.
Naambiwa hapa tayari mpango wa kuunganisha familia na ndugu wa waliopoteza ndugu zao...
Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia CCM, Haji Sande Manara, amesema kuwa hakuna mtu atakayetoka kuandamana kama baadhi wanavyodai kwenye mitandao ya kijamii.
Amesema ameshuhudia...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kilele cha kampeni za CCM, Mwanza leo Oktoba 28, 2025 amesema; "Nimekutana na makundi ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia...
Wananchi wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamesema kuwa hawawezi kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa sheria za nchi zenye viashiria vya kuondoa amani ikiwemo maandamano yasiyo na kibali...
This picture speaks thousands words!.
In politics nothing happens by accident
Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo...
Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakiwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura ya mapema katika kituo cha kupigia kura Sekondari ya Tumekuja Jimbo la...
Wanabodi,
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023
Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni...
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amewaasa maafisa usafirishaji (bodaboda) kujitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Ramsey...
Hawa wazee ni hatari sana, msiwachukulie poa, ombi lao lifanyiwe kazi haraka kabla madhara hayajatokea.
Najua mtapuuza lakini tutakutana hapahapa kijiweni.
Huyo alienyoa W kwenye ulimwengu wa...
Wanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya...
Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
Je...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.