ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANGA WAPEWA MAGARI MANNE MAPYA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, amekabidhi magari manne mapya kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, huku magari...
Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya...
Tarehe 29
Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule...
Hata mimi sipendi kumwaga damu. Kwahiyo kama viongozi wanapaswa kuwasikiliza wa nchi
================
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Riziki Saidi Lulida, ametoa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo amewasihi Watanzania kufanya uchaguzi kwa amani na kutoshiriki maandamano.
"Nchi inapokuwa na watu welevu, inakuwa na kelele. Rai...
Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo Oktoba 24, 2025 baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura kwa kuwa Serikali imejipanga na...
Kutoka X:
Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo?
Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura...
Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani.
Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na...
Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja...
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, John Malecela, amewaasa Watanzania kudumisha amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025...
Juu ya Mateso
Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya mabavu vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu. Hayasahauliki, hayasameheki wala hayakubaliki. Ni udhalilishwaji wa...
Maandamano Yanayoanza Mioyoni Kabla Hayajafika Barabarani
Kuna wakati taifa linaingia kwenye hatua ambapo hisia za wananchi hufikia kiwango cha juu cha kukata tamaa amnapo ukimya hugeuka kilio...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea udiwani kata ya Gungu wa chama hicho, walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo katika soko la...
Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili.
Simu yake ilituma Masseji...
Afande, for your information, watanganyika si wajinga.
Kuna siku utaona kuwa si wajinga!
1. Soka et al...waliitwa Temeke polisi, wako wapi?
2. Kifo cha Kibao, alisema uchunguzi uanze leo...
Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii
Wambieni watu wetu
Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana !
Kosa langu hata sasa ni kukataa...
Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29?
Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii.
Maana yangu ni kuwa, kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.