Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa...
2 Reactions
0 Replies
148 Views
Wanabodi, Wapo watu wanasema ya kuwa: Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya. Mimi nauliza: Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka...
3 Reactions
24 Replies
773 Views
Kiongozi Mkuu wa Taasisi ya Twariqa Tanzania, Sheikh Said Hamis Migire, amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu kabla, wakati, na baada ya uchaguzi mkuu, akifananisha amani na yai ambalo...
0 Reactions
11 Replies
343 Views
Huu ndio ukweli turnout ya idadi ya wapiga kula hiyo tar 29 itakuwa ni jibu tosha kuwa CCM haikubaliki kama wanavyodanganya. Ndio maana imetumika nguvu kubwaa sana kulazimisha watu wajitokeze...
3 Reactions
1 Replies
136 Views
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
1 Reactions
13 Replies
603 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema Utanzania hauwezi kuzungumziwa bila ya amani, akiwasihi Watanzania kumuomba mungu ili kuepuka kuizoea amani kiasi...
0 Reactions
4 Replies
221 Views
Mawakala 94 wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, bado hawajaapishwa na kulazimika kuweka kambi katika ofisi za wasimamizi wa uchaguzi...
1 Reactions
10 Replies
403 Views
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala...
17 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake...
22 Reactions
41 Replies
3K Views
Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi. Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya...
7 Reactions
25 Replies
786 Views
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo @actwazalendo_official Zitto Kabwe ameahidi kuwa chama chake kitakaposhinda nafasi ya ubunge na pamoja na kuwa na madiwani wengi kisha...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Hofu imekuwa kubwa sana yani polisi wamesambaza sana! Kuafanya hivi sio suluhu bali mtawafanya hata walikuwa wanania ya kwenda kupiga kura watashindwa kwenda kupiga kura kwa kuogopa kukamatwa...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna Chama...
0 Reactions
3 Replies
208 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL SHILLAH, amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limejipanga imara kuhakikisha linakabiliana na matukio ya...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea? Jana...
18 Reactions
18 Replies
811 Views
Unadiriki vipi kutoka kwenda kupiga kura wakati huo kiongozi wa chama cha upinzani yupo jela akituhumiwa kwa kesi ya uongo ambayo hatma yake ni kunyongwa? Unathubutuje kutoka kupiga kura huku...
7 Reactions
15 Replies
489 Views
Pesa inanguvu sana unaweza kusahau kila kitu. Ndiyo ya Wenje alijimaliza maneno yote lakini leo kajiunga na wale aliwaita wauawaji =================== "Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi...
6 Reactions
21 Replies
907 Views
Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ghafla anaibuka mwanasiasa ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat...
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa...
0 Reactions
26 Replies
778 Views
Kama ilivyo bara natamani sana kuona Zanzibar na wenyewe wangekuwa wanaenda kuchagua Rais mwanamke. Huku bara sisi tuko open minded sana kuliko Zanzibar. Siioni Zanzibar mwanamke kupata Urais...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Back
Top Bottom