Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025
Idadi ya Wagombea Ubunge Manyara
Wanawake - 4
Wanaume - 13
Idadi ya Wagombea Ubunge SIMIYU
Wanawake - 7
Wanaume - 20
Idadi ya Wagombea Ubunge SINGIDA...
Kama kisemavyo kichwa cha habari maombi yataanza saa nne usiku na yataendelea mpaka kesho
Theme
Mapenzi ya Mungu yatimie juu ya nchi ya Tanzania
Ambaye yuko tayari anakaribishwa
Mwaka 1977...
GTs,
Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo...
Tanzania ni taifa lenye historia ndefu ya umoja na amani, lakini pia ni taifa ambalo limekumbwa na changamoto kubwa za kisiasa, hususan katika kipindi cha miaka ya karibuni. Wakati wengi...
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa
"Hali ya Usalama ni...
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Lucas...
Husika na kichwa Cha habari hapo,
Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho...
Hajijui. Yupoyupo! Anajiendea. Hasomi mchezo. Si mbali kutokea leo. Soon as sooner. Samuya jitazame walahi. Wanamtandao washenzi sana. Set up exist Door. Kumtoa kafara ili wao wabaki salimini...
Ndugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika...
Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni...
Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa...
Walahi nyumbu hamuishi! Akili zenyu fupi ndio maana mnawaona hero watu ambao ni wakawaida sana. Hamchoki kuumbuka sijui. Huyo Robert hata sijui anaandikaga nini. Lakini mnavyomshadadia. Muwage...
Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura...
Yani huku mitaani magari ya kama ya kivita yamesambazwa kila sehemu, hii yote ni kuelekea kesho. Sasa kama ni uchaguzi ndio mfanye haya yote au uchaguzi wa mwaka huu umegeuka kuwa vita?
Embu...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha...
Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika...
Msemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.