Sijui kwanini watu mnazungumzia kuhusu maandamano kwa sababu chama ambacho kinaweza kikaleta maandamano ni ACT tu na sisi tunashiriki uchaguzi. Kwahiyo, hata sidhani kama mnapaswa kupoteza...
Wakuu,
Nasikia Zanzibar huko moto umewaka, wananchi wamejitokeza kukamisha zoezi la kupiga kura kwa vyombo vya usalama.
Polis wamejaribu kuzuia raia lakini wamezidiwa nguvu, inasemekana raia...
Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini.
Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake uliojengwa katika...
Maridhiano gani tena hayo ambayo hayajawai kufanikiwa? Sisi waTanzania tunataka kusikia namna ya kupambana na watekaji
===================
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha"...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ametoa onyo kali kwa watu au makundi yanayopanga kuandamana, kuleta vurugu au kuzuia wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura akisema kuwa...
Wakuu,
Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂
Safari hii ni...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole mkoani Mbeya, ambaye pia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kutimiza haki yao ya...
Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha.
Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani...
ACT Wazalendo walijitapa watalinda kura zao. Mbona kilio kimeanza kabla ya wakati. Kina Zitto waliwaingiza wenzao chaka kwa vile wana makubaliano maalumu na Mama. Kama nwenyewe anavyodai ni mtoto...
Mungu mwema wakuu, kila mmoja kwa imani yake .
Mada yajieleza
Wana wa Mungu popote mlipo msijisaulishe ,Mungu yupo kazini kuliko wakati mwingine wowote juu ya Taifa lake .
Tafadhali sana...
Kama mpaka sasa kampeni zinaendelea mtu yuko anaomba kura lakini bado police wanaangaika na watu ambao hawana Impact yoyote kama wakina Niffer binti anayecheza Tiktok anapewa kesi nzito za uongo...
Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025
Idadi ya Wagombea Ubunge Manyara
Wanawake - 4
Wanaume - 13
Idadi ya Wagombea Ubunge SIMIYU
Wanawake - 7
Wanaume - 20
Idadi ya Wagombea Ubunge SINGIDA...
Kama kisemavyo kichwa cha habari maombi yataanza saa nne usiku na yataendelea mpaka kesho
Theme
Mapenzi ya Mungu yatimie juu ya nchi ya Tanzania
Ambaye yuko tayari anakaribishwa
Mwaka 1977...
GTs,
Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.